Hallo wana JF.
Natumain kila Mmoja wetu anatambua Nguvu iliyopo pale watu wanapoamua kuungana na kuwa kitu kimoja. Kwani kunakuwa na faida ndani yake. Moja ya faida kubwa ni Mawozo(Ideas) hatA...
Ukifanya bisahara Tanzania inalipa. Ila usiuze pembe za ndovu au madawa ya kulevya. Vipo vingi vya kuuza ambavyo ni halali.:A S tongue:CHATGUEST FORUMS is your best source for knowledge.
Kutakuwa na Nyama Choma katika viwanja vya Posta Kijitonyama Jumamosi Tar 16 November 2013, tukio hili litaenda sambamba na muziki, michezo ya watoto, vinywaji, michezo kama pool pia itakuwepo...
nimeletewa trecta ili niweze kukodisha kwa wakulima hivi jamani bado biashara hii inalipa na wapi kwa sasa yanahitajika ni Massey ferguso 375, naomba mnishauri
Naitwa jofrey george, mwandisi wa majengo, nafanya kazi za kuchora ramani za majengo aina zote, kupiga gharama za ujenzi(bopq), kusimamia ujenzi na ushauri wa kitaalamu kuhusu majengo...
Gari aina ya Toyota Hiace inauzwa. Ipo Dar es salaam na Iko kwenye hali nzuri sana. Ni ya mwaka 1996, Engine ya Diesel, ina viti vya kukaa watu 17, na imesajiliwa kwa Biashara. Mwenye kuihitaji...
Habari Wanajamvi.
Nategemea kuhamia dodoma mjini kama wiki mbili zijazo.
Napenda nizifahamu fursa za kijasiriamali huko mana mimi ni mtumishi wa serikali ambae napenda pia niwe na kipato cha...
Habari zenu wana jamvi....
Ama baada ya salamu, leo nina jambo langu nataka niwahusishe ndugu zangu. Ni hili suala la duka la reja reja ( la mahitaji ya kila siku ya nyumbani ), baada ya...
Heshima mbele Wanajamvi!
Sisi ni vijana watatu tumeungana tukafungua na kusajiri kampuni ya Mawasiliano. 2 kati yetu ni wazoefu kabisa kwenye fani hii na wameshafanya kazi na makampuni ya...
Samahani wanajamvi ninaulizia kuhusu utaratibu wa kusajili jina la biashara na gharama zake na je katika Kusajili kwa sisi watu wa mikoani utaratibu ukoje au inatulazimu mpaka tufike Dar es...
habari wana jf.
naomba kuuliza kwa wale wanaojuwa kuhusu biashara ya mayai ya kuku kwa bei ya jumla.
naomba kujuwa bei za kununua kwa jumla na bei za kuuza kwa jumla.
asanteni
-tunachimba visima virefu kwa kutumia machine maalum ya kisasa kwa uhakika na kwa bei nafuu.
-tunachimba na kukabidhi kisima ndani ya siku moja. tutakufuata popote ulipo [dar].
mobile no: 0712...
Taa ya hatari imeanza kuwaka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wa Tanzania
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara, ( wakubwa na wadogo) wanafanya biashara
Kienyeji na kikubahatisha wanafanya...