Nataka nifanye biashara ya kuuza luku na huduma nyingine.
Naombeni ushauri, nitumie kampuni gani ambayo ni nzuri kwa kila jambo hususani commission na bei ya kununulia.
1.Pay point
2.Selcom...
amani iwe nanyi wapendwa wana jf,naomba kujuzwa kwa jambo lifuatalo;hivi kwa mfano mtu kafanya kazi kwa muda mrefu na mafundi umeme wakubwa akiwa kama msaadizi au 'kibarua' wa fundi kama ilivyo...
Kuna hili swala la Hydroponics Techinology ambapo ni uoteshaji wa mazao bila kutumia udongo na kinacho takiwa ni maji tu na sehemu ya udongo huwekwa virutubisho fulani.
Hii techonolojia inaweza...
Wajasiria wenzangu
Nina mpango wa kufungua duka la vipodozi hasa hasa vya kina mama siku za karibuni.
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha juu ya biashara hii naomba michango yenu.
Habari wadau,
Nina mradi wangu mdogo wa bata, kwa sasa wapo kama 50 ukiweka na watoto, mpango wangu ni kuzalisha mpaka nifikie uwezo wa kuzalisha atleast bata 100 kwa mwezi ndani ya mwaka mmoja...
Wadau,
Katika kujikwamua na hali mbaya ya kiuchumi, nimehamua kufungua biashara jijini Arusha eneo la sanawari. Tatizo ni kwamba eneo nililopata liko kwenye makazi ya watu. Nimeongea na balozi...
Habari za Leo wadau..
Nafikiria kuanza kuuza kuku wa kienyeji, je kuna mtu anafahamu wapi naweza kununua kuku wa kienyeji kwa jumla kwa bei ya chini ili niweze kuja kuuza rejareja dar?
Salam aleikum,bwana Yesu asifiwe.AMEN.Nimekaa chini nikafikiria nianze kufuga kuku hawa coz nimeona ni dili hapa dar.Hivi sasa nimeanza kujenga banda lakini naona kama nimekurupuka coz sijapata...
pigia kura jina moja kati ya haya matatu tupate mjasiriamali bora wa Jamii forum wa mwaka 2013.
1. Mama Joe
2. Kubota
3. Malila
Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 December 2013.
No Multiple...
Ndugu wajasiriamali. hasa wafugaji wa kuku wa asili. mimi nimefanikiwa kutibu magonjwa mawili ya kuku. kwa tiba mbadara (1) uharo mweupe. nilichanganya vumbi la mkaa na chakula cha kuku nikawapa...
Habari zenu wakubwa,mi nina wazo lakufanya biashara ya Gypsum,sasa kwa yoyote alie na uzowefu wa hii biashara aliowahi kufanya au ambao wanafanya,naomba mawazo kwenye biashara hii au muongozo...
Wana jf wa jukwaa hili,
Bado nanunua kuku wa nyama kwa bei nzuri sana, mwenye nao asisite kunitafuta kwa 0785168001, na uniambie unao wangapi na mambo mengine tutawasiliana.
Kwa wale wanaohusika na shule za sekondari, napenda kuwajulisheni kwamba J&B Graphics and Data Processors inaendesha zoezi la usajili wa wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani yao mwishoni mwa...
Nauza simu jaman ina kama mwezi tu tangu inunuliwe... Mjin pagumu kufulia hakuishi iko poa kabisaaa mpya.470,000/= nakushuka chini.Wajanja na wadau Contacts 0718247575