Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hello pipz..Don't miss this out ... An adorable google galaxy nexus 2 brand new in the box...16gb internal memory..1gb ram...camera front nd hind...4g internet...wide display screen. ..android...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Habari. Motor inauzwa iko ktk halo nzuri imerumika kwa muds was mirzi 3 tu. Being no sh 450000. Iko makongo juu ukitaka kuiona. Namba Yang ni 0758 308193. Picha ntaweka soon.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari za leo wana jamvi! Jamani nawaombeni sana mlione na hili ili tuone uhalali wake. Kuna hii kitu inatwa TELEX FREE ambayo baada ya kusoma post mbalimbali za wana-mitandao nimejiridhisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadau nilikuwa na wazo la kulima vitunguu, naomba mnijuze kuna faida kubwa hapa?
1 Reactions
3 Replies
5K Views
wakuu naombeni mchanganuo hasa faida inayotegemewa kwa ekari nataka kuanza kulima haya mazao. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Kuna shamba la miti ekari 9.5 lenye Hati miliki linalouzwa huku mafinga Miti imebakiwa na miaka miwili 2 tayar kwa kuvuna mbao shamba eka moja kwa kawaida ni shilling mill 14 lakini hili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninamtaji wa mil.5 nataka fungua biadhara ya kuuza nywele za kina dada naomba ushauri wenu nataka nifungulie dodoma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HALOO jumamos(12/04/2014) hii kuna semina kali sana,itakayofanyikia ubungo plaza(blue pearl) saa saba na nusu mchana.inahusu uwekezaji TANZANIA.ipo chini ya Recon Brown wa south Africa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nawaombeni udalali kwa mwenye uwezo,nina chombo cha baharini aina ya DAU..nauza, in box kwa maelezo zaid.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Mimi ni mjasiriamali mdogo nafanya biahsara ya stationery natoa huduma ya Typing na manual, scanning, binding, photocopy and pasport size. Vyote hivi navifanya kwa bei nafuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti : Ina HATI, ina umeme, ina maji : Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji 800000 kwa ajili ya hii masine. Nipo Dar, Sinza (0767510151)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajukwaa salamu kwenu. Ninaomba msaada wa kimawazo na ushauri; Wakuu nipo kwenye utafiti wa kuangalia fursa ya kuanzisha taasisi ya ukopeshaji kwa wananchi ambao hawajapata huduma hii kutoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
tunauza blog website special kwa ajili ya news,stories na mengineyo.website inaitwa walimwengu.com..kama unavoona jina la website linapendeza na kuvutia website ina muonekano mzuri kwenye desktop...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa uzi habariní. Naombeni ushauri juu ya namna ya kuwa FREELANCE ECOLOGIST. Kwa kiswahili kama MWANAHABARI wa MAZINGIRA WA KUJITEGEMEA. Katika hilo nataraji kutafuta na kuzifanyia kazí...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Wadau wa uzi habariní. Naombeni ushauri juu ya namna ya kuwa FREELANCE ECOLOGIST. Kwa kiswahili kama MWANAHABARI wa MAZINGIRA WA KUJITEGEMEA. Katika hilo nataraji kutafuta na kuzifanyia kazí...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Hivi wakubwa ukiwa na mtaji wa kiasi cha m3, ni biashara gani unaweza kumshaur mtu?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina kihasi kidogo cha pesa kama 160,000 hivi kwa hio naomba mwenye uzoefu wa biashara ndogo ndogo kwa hapa dar kwa kiwango hiko kidogo cha pesa naweza kufanya biashara hipi.naomba mawazo yenu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Mimi namiliki duka la rejareja hapa mjini,napata shida sana ya kuhesabu bidhaa mara kwa mara,sasa natafuta mashine itayofanya hiyo kaziili kujua kila bidhaa inayotoka kama zile...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza majogoo yako ishirini tu aina ya LIGHT SUSSEX yana umri wa miezi saba yana afya njema. Sababu ya kuyauza ni kwamba ninayo 40 nataka nibaki na 20 tu. bei ni elfu 20 kwa jogoo mmoja...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…