Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mwenye taarifa juu ya uuzwaji wa gari tajwa hapo juu naomba anijulishe. Iwe na rangi ya silver na iliyo kwenye good condition kwa matumizi. Pesa ipo cash. Tuwasiliane kwa +255717935721
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bei M7.5 maongezi yapo!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunahitaji godown mbili kariakoo na maeneo ya karibu na kariakoo. 1. Godown lenye ukubwa wa mita za mraba(squire meter) 500 hadi 700 ( 500m3 - 700m3) liwe maeneo ya kariakoo au nje kidogo ya...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Wana jf nipo chalinze najajishughulisha na uuzaji wa nguo za wanawake kama vile kanga vitenge vikoi madila,wax nk,.Naomba Mwenye Kufahamu Maduka Ya Jumla Ya Hz Nguo,maana Nimekuwa Nikichukulia...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Natafuta mtu mwenye idea ya thailand jamani.mwenye kujua huko au mahali pengine ani pm.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana jukwaa kwanza nianze kwa kuwasalimu, naimani wikiend ilikuwa nzuri na mmejiandaa vema kuianza wiki. Binafsi namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwani kiafya nipo vizuri. Lengo kuu la...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda kutoa shukrani kwa wana janvi kwa nilichojifunza humu kwa muda mrefu na kufanikiwa kukamilisha kuandika kitabu cha ujasiliamali chenye kurasa 240.... kiitwacho "THE SECRET(S) OF SUCCESS IN...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye uzoefu na biashara ya saloon za kiume anisaidie uzoefu ktk hili nataka kufungua hiyo kitu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kiwanja kipo maeneo ya Vianzi karibu na Tank la maji ni tambalale.mita 40 kwa 30 hatua za kawaida.viko 2 on one place.Tsh 4 milion.mawasiliano 0713649555
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wale wafanyabiashara wa tanzania ambao wanafanya manunuzi ya bidha zao kutoka africa kusini epukeni kupoteza hela wakati unapobadilisha shilingi za kitanzania kwenda dolla alafu dolla kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF niokoeni mwenzenu, niko Mpanda ambako chanjo za kuku hazipatikani sana. Nishaurini njia rahisi za kienyeji za kulea vifaranga kwani huo ni mtihani ambao umenishinda nami nataka kuwa na...
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Asalaam wapendwa...niko dar maeneo ya kijitonyama..nna mtaji wa sh milion tatu...na kuna frem nalipiwa mwaka mzima sasa sijui nifungue biasha gani ambayo kila wiki nina uwezo wa kuongeza laki...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau maisha yanachanga moto nyingi sana. kukabiliana nimeingia katika kilimo cha vitunguu. Nakaribia kuvuna mwezi mapema mwwezi huu. naomba msaada wenu kwa yeyote anyefahamu wapi naweza kupata...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wadau, habari zenu? Nina eneo dogo mjini (nyumbani kwangu), kuna eneo lenye ukubwa wa kama 25mx10m. Nahitaji nifuge kuku wa kienyeji. Nitakuwa natumia incubator Nitakuwa nawalisha hydroponics...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
NDUGU ZANGU VIJANA WENZANGU Nimekuwa kwenye ujasiriamali kwa kipindi kirefu kidogonimepita uzoefu mwingi ikiwamo kushindwa na kuamka na kuendelea na sasa nimeonelea nishirikiane na WENZANGU...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wana-forum mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo.. nina malengo ya kuanzisha biashara japo sina uzoefu wa kutosha.. Nina mtaji mdogo sana wa kama milioni moja na bado sijajua ni biashara gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kitu ambacho wananchi wanakuwa wanapotea bila kujua kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaohamasisha na kutoa elimu kuhusu ujasiriamali, Sio wote Watu hao wanawasaidia watu,lakini...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
samahani watu wangu naomba kuuliza eti nikitaka kulima vitunguu kama heka moja naweza pata faida kiasi gani?? samahanini kwa usumbufu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. kwa wale wafugaji mayai ya kuku wa kienyeji na kisasa yana uwezo wa kukaa muda gani bila huharibika?
0 Reactions
1 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…