Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hes on k24, citizen tv on dstv akitueleza sisi vijana wa east afrika karibu tusikilize mzee anavyosema kuhusu ujasiliamali
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wana Jf. Nahitaji kununua kuku wa kienyeji wa kufuga, at least mwenye umriwa miezi 4. Aina yeyote(Malawi, chotara....). Nita furahi niipata muuzaji aliepo Mkoani MWANZA ili iwe rahisi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Je umekuwa ukihangaika katika mawazo yako na maswali mengi kuhusu greenhouse? Je umekuwa ukipata stress (msongo wa mawazo) kutokana na kutopata maelezo na mafunzo sahihi ya jinsi ya kufanya kilimo...
8 Reactions
92 Replies
15K Views
Naomba mtu anijuze vigezo vya kuanzisha hii kitu na faida zake please.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari zenu wana JF Mimi kama mjasiriamali nilitaka kujua kuhusu faida gani nazipata nikiwa mwanachama wa vikoba na riba kiasi gani pamoja na muda wa marejesho
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Hii wanajamiii Wajasiliamali wenzanguu.. Nina shida kidogo hapa kwa wale wanaofuga kuku wa kienyeji.... Nina Kuku wangu wanataga mayai ila awatotoi na kama wakitotoa ni kifaranga kamoja Kimoja...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Eti wana JF wapi naweza kuuza asali ya nyuki wakubwa kwa jumla kwa DAR ES SALAAM? Na je naweza kuuza kwa bei gani? Natanguliza shukrani zangu kwa wale watakaonisaidia
0 Reactions
9 Replies
5K Views
I am looking for business partner(s) that we can enter into supply business. I am located in Mbeya, Tanzania. I am thinking to export food stuffs (like onions, rice, maize, garlic, carrot, soya...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Habar wakuu samahan nataka kununua shamba ambalo halijawahi limwa hata mara moja ambalo ni pori naanza kufyeka naomba kujunzwa maeneo ambayo nitapata kununua kwa bei poa na taratibu za kufuata...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Sina nia ya kuwaharibia hawa jamaa biashara, ila natoa angalizo kwa mtu ambaye bado hajaingia kwenye huu mkenge wa kununua mashine yao ....apige hesabu Nzuri. Kwanza kabisa napongeza jitihada...
7 Reactions
24 Replies
31K Views
Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa milioni moja
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili, Naomba kufahamishwa kwa anayefahamu kuhusu virutubisho vinavyopatikana katika Uduvi kama ni sawa na vile vinavyo patikana katika Dagaa, Samaki.
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Mimi ni kijana mtanzania,natafuta business partner tudesign na kufanya biashara....mtaji tutashea. Mwenye wazo kama langu anipm tuyajenge.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF habari zenu, Ni mwaka sasa toka nimemaliza shahada yangu na sijafanikiwa kupata kazi ya kuajiriwa moja kwa moja, binafsi ninaona muda si rafiki kwangu kutokana na malengo yangu.Hivyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wapendwa nijulisheni wapi naweza kupata mayai kwa ajili ya kutotolesha. ●Aina ya mayai- yawe ya kuku aina ya hampshire. ●Au chotara yoyote- iwe dual-purpose. ●Au aina nyingine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wajameni. Nasikia wakulima wa miti ya mitiki(Teak) huko moro wanaongelea CRDB bank wanatoa mikopo kwa dhamana ya hiyo miti, wanasema miti yenye umri wa kuanzia miaka 3 na kuanzia hekari 1...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Mpaka muda huu sijapata majibu ya hizi hoja zangu muhimu. 1.Incubator ya mayai 3,000 inatumia watt ngapi za umeme,nauliza hivyo ili nijue kama solar za watt ngapi zinaweza kufit. 2.Ikiwa solar...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, nahitaji kujua taratibu za kufungua duka la dawa muhimu, kwa anaejua plz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba kufahamu kwenu wadau, hii dae es salaam stock exchange (DSE) nami mjasiriamali ninaweza kufaidika nayo?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…