halo wandugu, baada ya kupitia makala nyingi nimeona na mii naweza kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji na kisasa
nimeplan kujenga mabanda mawili ya urefu wa futi 20 na upana wa futi 16. moja kwa...
Ndugu wajasiriamali wenzangu nataka kuanza kilimo cha umwagiliaji maeneo ya mto Ruvu. Kwahiyo napenda kufahamu kwa wazoefu ni mazao gani yenye soko la uhakika jamii ya mboga mboga na matunda...
Namini msemo usemao kidole kimoja hakivunji chawa. Na umoja ni nguvu. Mm ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nina ujuzi na uzoefu wa eneo hili. Nipo nje kidogo ya dar kilwa road. Tayari nimesha andaa...
Mimi ni mkulima hapa Dodoma sehem ninahitaji pikipik ya kuhimili milima na makorongo makubwa yenye mchanga kwa ajili y kutembelea mashamba yangu.
napendelea aina zufuatazo za pikpik
baja 250...
Ninayo nyumba Magomeni Dar, Je vipi ninaweza kuzitumia Bank kujenga Ghorofa Ambayo ikodishwe na kulipa Bank ? Naomba michango yenu wadau. Ahsante Sana.
Nimepata ujumbe huu kwenye simu yangu. Je hawa wapo kweli?
Nukuu:
RED EDGE SACCOS LTD inatoa mikopo ya Ada, Pango la nyumba bila ya dhamana. Pia Bajaj, Pikipiki, Solar power, Fedha na...
Kwa mara ya kwanza nimeweza nunua shamba langu ekari kumi Kiwangwa. Kwa kweli nimefurahi sana. Ila sasa wanajamvi nishaurini nifanye nini nilime nini Kiwangwa Mamboela.
Nimeona mashamba makubwa...
wadau,
kuna kampuni au watanzania wanaoshughulika na uletaji/usafirishaji wa mizigo toka USA? gharama zao zipoje? kama kuna watu wameshwatumia, experience yao ipoje?
Akina Chasa, Mama Joe, Sayuni, SUDEKI na wengineo.... Fursa hii ni yenu hasa wenye makampuni rasmi katika value chain ya kuku na mahindi.
Tangazo lilikuwa on the Guardian jana so here you go...
Tanzania's has been growing on average at 7% a year. Ironically this growth has not created productive jobs for Tanzania's 20 million strong workforce? What went wrong? What needs to be done to...
SERIKALI inatarajia kukopesha vikundi vya uzalishaji mali vya vijana vipatavyo 453 katika mwaka wa fedha 2014/15 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Hayo yamesemwa hivi karibuni na Kaimu...
hbr jaman....
kuna sehem nategemea kupata 6m sasa nilitaka kuweka kwenye broilers sasa mahesab mbona yanaleta lost
kwa kuku
mmoja
Wiki ya 1 15g*kuku 1000=15,000 sawa na kilo 15kwa siku na...
Mimi in mfanyabiashara wa Samaki sato toka mwanza lakini nimejikuta nikikutana na wavuvi wakiwa na marundo ya kamongo(lungfish) bila kua na soko.natafuta soko la kamongo nianze kusuply kwa kilo...
Habarini wadau,Mimi nataka nianze biashara ya kuuza nanasi hapa dar kwani naona kama ndio msimu umeanza maana nimeona kuna maeneo washaanza kumwaga
Naombeni mwenye kujua zinakopatikana kirahisi...