Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari jamani; Naomba msaada wa haraka kuku wangu jogoo wa Malawi anaumwa mafua hadi namuonea huruma yamembana kiasi cha kukoroma na kuziba mdomo, sijampatia dawa yeyote naomba mnisaidie aina ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu, napenda sana ufugaji kwa sababu ninajua unaweza kunitoa. Nimejaribu kufuga kama 300 kutoka kampuni fulani lakini hawatagi vizuri. Wana miezi saba na zaidi kidogo lakini napata trei 4 tu kwa...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali. Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mwanzo wa makala ya hivi punde ya African Dream,mwanabiashara Mercy Kitomari-ambaye alianzisha kampuni ya kutengeza aiskrimu hai ya Nelwa's Gelato-anaeleza mbinu kumi bora anazotumia katika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza kuku chotara wa miezi mitatu mpaka mitano..wanapatikana mbezi msumi.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali. Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo imesajiliwa...
1 Reactions
0 Replies
844 Views
Karibuni sana tufanye biashara;asali ya nyuki wakubwa dumu la lita 20 nauza 120000/= ;asali ya nyuki wadogo dumu la lita 5 nauza 75000; niko Makambako - Njombe; kama unahitaji mzigo nitafute kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta eneo la kufungulia mgahawa kwa Dodoma mjini au moshi mjini au arusha mjini kwa anaejua eneo lilipo. Naomba tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye history/ histocal background au link ya profile ya Paul Mashauri aniimbox please.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We have empty cargo containers (20ft and 40ft) in excellent condition available for sale..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mimi ni kijan anina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nakuja mbele zenu kuomba ushauri kwenu, ushauri wenu uzingatie mambo yafuatayo. CAPITAL/LOAN: Nimeamua kuchukua Loan ya 30M bank flani na nyumba yangu nimeamua kuweka rehani...
1 Reactions
49 Replies
10K Views
We provide efficent software solutions, easy to use,scalable enough to take your business next level. View our portfolio Olcomlabs (T) - Software Development | Mobile Development Tanzania, Data...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba munipe muongozo, nina pesa 500,000/=, niifanyie nini? Maisha!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Wakuu Nataka kufungua kampuni ya usafi, ambayo itakuwa inafanya usafi katika maofisi, manispaa, mashuleni, majengo ya biashara nk. Naomba mwenye details za kutosha za jinsi ya kusajiri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mbungani mwanza nina kiasi cha shilingi laki nne na nusu sasa naomba wana JF mnipe mawazo kitu hata kama ni chA kawaida nawezaje zalisha na kuanzisha kibiashara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Am a man with troubleshooting ideas. self independent may am is to open my on business but until now i have just bought printer and computer ready to open a stationary to start with but i have...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa; Naomba kujuzwa wapi naweza kupata kitambaa kama cha mpira niweze kushona sketi kwa ajili ya sketi fupi (penseli). Maana nataka nibuni sketi nikajaribu kufanya biashara. Naskia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Haya haya jamani yule bingwa wa masuala ya ufugaji, uuzaji na usambazaji wa kuku wa kisasa, ninauza kuku. Kwa wale wa tenda za maharusi, watu wa bar, watu wa sokoni, na kadhalika. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau? Miye ni mjasiriamali mfugaji wa kuku wa kienyeji + chotara, kanga pamoja na bata mzinga, shughuli yenye takribani zaidi ya mwaka sasa, changamoto nayokabiliana nayo saizi ni...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…