Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakuu nahitaji mkopo wa milioni mbili kwa muda wa miezi miwili,dhamana ni kadi ya Gari . Anayeweza kunisaidia tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waungwana habari za siku tele! Nawaleteeni habari njema ili tuweze kuwasaidia wale ambao hawana access ya kuingia hapa nao waweze kupata machapisho ya kujisomea waweze kwenda nasi kwenye mambo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu natafta mchele grade A ule usio na mawe wala usiovunjika kwa bei ya jumla, mwenye nao plz anipm, pia nahitaji kuku na mayai kwa bei ya jumla, mbarikiwe
0 Reactions
8 Replies
2K Views
See me ila andaa mtaji wa kama Milioni 2 nikupe business idea.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu zangu nahitaji mayai fertilized ya kienyeji na chotara kwa ajili ya kutotolesha nipo DAR ES SALAAM. Kwa yoyote anayepafahamu wanapouza Fertilized egg hapa Dar nahitaji sana.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
MIMI NI KIJANA WA MIAKA 25 NAHITAJI MKOPO KUTOKA TAASISI,WATU BINAFSI NA WADAU WA MAENDELEO.PIA NINA KAMPUNI YANGU BINAFSI IMEANZA KUTOA &KUFANYA HUDUMA MBALIMBALI KAMA VILE KUTOA USHAURI WA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninaomba msaada wenu wajasiriamali maana nimetumia kila sina ya dawa hata sijui tatizo Ni nn wanakufa kidogokidogo nimesoma topic nyingi na nimezifanyia kazi hapa lkn hata sijui tatizo Ni nn.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama unatafuta rosella basi umeipata. piga 0714 001 824
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari gan wana jf leo nimekuja na swali langu la faida gani ntaipata kufungua website au blog nawaomba mnipe ufafanuzi kwa wale wenye uelewa na mambo ya blog na web site. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Majengo yaliyokuwa yakitumiwa kwa ajili ya Chuo cha Hotel Management yanapangishwa kwa yeyote atayekuwa tayari kuendesha shughuli zake kwenye majengo hayo. Yako Busweli jijini Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa wataalam wa kilimo,ukilima ekari moja na ikaiva vzuri unaweza pata kiasi gani cha mavuno yaani magunika.kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Sudeki Hatchery ina waletea habari njema kwa wanaotaka kuwekeza kwenye ufugaji wa kuku. Sudeki hatchery ni kampuni iliyosajiliwa na inafanya utotoleshaji wa kuku wa kienyeji aina bora ya Malay...
4 Reactions
43 Replies
8K Views
Hureeeeeee Wafugaji wenzangu leo nina furaha sana..katika safari hii ya ufugaji wa kuku wa kienyeji niliyoanza mwezi wa nane mwaka huu. Leo nimefanikiwa kupata vifaranga 23. Mpango nilionao ni...
1 Reactions
27 Replies
11K Views
Nahitaji mwenye uzoefu na aliewahi kuandika project proposals au research proposal hapa me nina mwanga lakini hautoshi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya huduma za uandishi juu ya maswala ya research proposal, research dissertation, data analysis, Project proposal write up, Environment management and Rural livelihood education...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Kuna mtu amependekeza kuanza biashara kwa sh 5000, kama kawaida waungawana humu jf wamedai apeleke huo uzi wake joke forum. Lakini mie nna mtazamo tofauti hapa. Kwamba bado hiyo elfu tano inaweza...
19 Reactions
106 Replies
35K Views
Habari ni maeneo gani naweza kupata korosho hapa nchini? Kama kuna mtu Anajua please nitafute nipo serious.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana Jukwaa Salaam. Nina shida ya dharula na ya haraka sana ya Tsh. Ml. 20. Kuna project yangu moja imekwama na inahitaji pesa ya haraka sana. Nitarudisha ndani ya siku 30 kutoka siku...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwenye ufahamu juu ya hiyo miparachichi naomba anijuze kwani nipo Wilayani Kilolo-Iringa,ni eneo lenye mvua nyingi za masika,joto la wastani,udongo wake ni mgumu na ni kama mwekundumwekundu,je,kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello every1, Nauza huyu mbwa wa kike aina ya Rottweiler.Nilimnunua kutoka Kenya na kumfundisha "basic obedience" pamoja na guard instincts kumanisha anaskia ukimwambia sit,down,come,leave...
2 Reactions
129 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…