Wapi wanauza mayai fertilized ya kienyeji na chotara kwa ajili ya kutotolesha DSM

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Ndugu zangu nahitaji mayai fertilized ya kienyeji na chotara kwa ajili ya kutotolesha nipo DAR ES SALAAM. Kwa yoyote anayepafahamu wanapouza Fertilized egg hapa Dar nahitaji sana.
 
Itanisaidia na mimi.maana leo nimetotolesha tayari so nahitaji mengine
 
Duhh ebu nipeni ujanja dada yangu Mama joe na chasha. Ili mitetea yangu itage kwa uwiano mzuri nifanyeje ina 6 month lakini utagaji unasuasua sana na nna wafuga huria ipo 60 lakini kamal 10 tu ndiyo inataga. Ni kenbro ina uzito wa 2 kg.
 
Kwakweli hata mie miezi 7 ndo peak wanataga zaidi ya nusu ndo maana natotolesha zaidi sioni maana kuyauza kama ya kula. Weusi kiasi wanataga ila viumbo vidogo... Lakini waweza ongeza virutubisho mf premix na vitamins zinasaidia. Mifupa pia.
Duhh ebu nipeni ujanja dada yangu Mama joe na chasha. Ili mitetea yangu itage kwa uwiano mzuri nifanyeje ina 6 month lakini utagaji unasuasua sana na nna wafuga huria ipo 60 lakini kamal 10 tu ndiyo inataga. Ni kenbro ina uzito wa 2 kg.
 
Naongeza virutubisho na mchicha nimepanda kwaajili yao lakini yananenepa tuu. Je nikinunua hao mitetea weusi na jogoo wa kenbro naweza pata mbegu nzuri?? Jogoo kwa sasa wana 4kg wana 6 month ni machachari kweli.nimeuza 60 nimebakisha 22 kwa ajili ya mbegu imebidi niwatenge kwa sababu mitetea iliyofikia kutaga ni michache hivyo nataka ninunue hiyo mitetea ya malawi.
 
Malawi ni wengi mbona ulizia uko utapata, ila nafikiri jogoo kenbro waache na jike zao ili u maintain generation yao.
Naongeza virutubisho na mchicha nimepanda kwaajili yao lakini yananenepa tuu. Je nikinunua hao mitetea weusi na jogoo wa kenbro naweza pata mbegu nzuri?? Jogoo kwa sasa wana 4kg wana 6 month ni machachari kweli.nimeuza 60 nimebakisha 22 kwa ajili ya mbegu imebidi niwatenge kwa sababu mitetea iliyofikia kutaga ni michache hivyo nataka ninunue hiyo mitetea ya malawi.
 
Unataka trei ngapi?, mimi huwa ninayo ya kienyeji. Ingawa sijui kuku wangu ni kabila gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom