Wadau heshima kwenu,
Nauza mitetea wa kienyeji waliofikia umri wa kutaga kwa bei ya shilingi 17000 kila mmoja. Wana maumbo makubwa na wanafaa kwa kufuga au kwa nyama. Nipo Tabata, lakini naweza...
SICON PRINTERS GET WAY
We dealing with;
T-SHAT PRINTING;
Screen printing & transfer
PAPER PRINTING ;
Brounchures
bussiness cards
ID Cards
Flyers
Posters
stickers
Callendar
Graphics design...
Mimi ni kjana niliyeajiriwa kwenye kampuni moja mafuta Tanzania, lakini nimepata access ya running capital - mafuta pamoja na initial fund ya ku_run petrol station. Kwa yeyote mwenye connection...
Habari za mapumziko ya Pasaka Wana JF,
Kwa wale wenye twakwimu embe tuwekeeni hapa ili tuweze kujua vipindi vya kilimo kila mkoa na aina ya mazao yafaayo kwa kilimo ili tuzione fursa na kuzikamata
Habarini wana jf. Sijui kama hii thread lmeshawekwa au la. Ila lengo ni kutaka kujuzwa juu ya uwekezaji katika soko la hisa.
Naomba kujua faida za hisa zinakuwaje, hasara zake na ni wakati gani...
Habari zenu wana forum
Nauza kiwanja changu kipo kigamboni mji mwema karibu na barabara iendayo gezaulole nikama kiwanja cha saba toka barabara kuu ya kwenda geza kin ukubwa wa sqm 350 bei...
Hali zenu wadau wangu naitaji kwenda Thailand kununua nguo za watoto yupo anae enda au anajua maduka ya nguo za watoto ya lipo anielekeze au kama anakwenda tuongozane
Wadau wenye uzoefu na uelewa plz nisaidieni namna ya kutengeneza chakula bora cha Kware cha wik ya5 nakuendelea ili waweze taga vizuri mfululizo na mayai yenye ubora, naogopa chakula cha dukan...
Wadau hasa wale wenye idea na water pump kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji wa kawaida,naombeni msaada wenu juu ya hizi water pump,hasa kuhusu bei,aina na uimara wake!hitaji langu kubwa kwa pump...
Hii ni kampuni inayojihusisha na mambo yote yanayohusiana na viumbe wa kwenye maji kwa maana ya ufugaji wa samaki. Tunatoa ushauri na mafunzo ya jinsi ya kuaandaa bwawa la samaki na ufugaji wa...
Oriflame inatoa kuongoza nafasi ya biashara kwa watu ambao wanataka kuanza kupata fedha kutoka siku moja na kufanya kazi kwa kutimiza ndoto zao binafsi na matarajio kwa dhana yake ya kipekee ya...
kuku wakubwa wa nyama wanauzwa maeneo ya kibamba, mzigo waweza shushwa popote mjini ... umri ni week 6 ....uzito ni kilo 1.5+ .... bei tshs 6,500/= kwa kuku mmoja
mwenye kuhitaji kununua...
Wanajf habari zebu nawaleteeni habari njema kwa wale wanaopatikana kanda ya ziwa kuwa tuna pokea order za vifarnga wa kuku wa kienyeji, chotara kienyeji, layers, broilers. Karibuni sana 0683111101
Habari wana JF, Naombeni msaada wa namna ya kuweza kinunua bidhaaa au kuuza kupitia njia ya mtandao mfano Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More | eBay Amazon.com: Online...