Poleni na majukumu!
Samahani sina experience yoyote kwenye ukulima hivyo naomba ushauri wenu.
Napanda mbogamboga kama matembele na mboga za maboga, bamia hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya...
Habari ya mchana ndugu zangu. Nimekuwa nikitembea katika mitandao kutafiti kilimo cha machungwa.
Huko Kenya nimeona kuna mbegu ya Africa kusini wameitumia inafanya vizuri inaitwa CLANOR. Je...
Tar 12/10/2018 mmoja kati ya viongozi wa benki ya maendeleo ya kilimo (Tanzania Agricultural Development Bank) alikuja kuongea na wanachama cha ushirika Madibira. Ushirika unawanachama 3147 ambao...
Naomba kufahamishwa je naweza kuendelea kupiga booster ata baada ya mahindi kutoa mbelewele na je kuna madhara yeyote katika matumizi ya booster natanguliza shukurani
Habari zenu wadau
Naamini mpo vizuri
Leo tujifunze pamoja kuhusu zao la parachichi
Kila mkulima ambaye anafanya kazi ya kulima na kuvuna lengo lake kubwa ni kuhakikisha kwamba anapata mavuno...
Wakuu Habari za majukumu, Natumai kazi inaendelea...
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa kujua undani, ubora na fursa katika internships za nje ya nchi hasa nchini marekani kwa baadhi...
Kutokana na passion yangu ya kilimo nimeona nije kwenu wadau kuomba ushauri.
Nimepata eneo ninaloishi ambalo nimewaza kufanya kilimo cha mboga mboga na matunda.
Nina uzoefu kidogo cha kilimo cha...
Habarini,
Nimelima tikiti zinatambaa sasa, nilishawahi kuli a mara kadhaa na nikavuna.
Changamoto iliyopo inayonifanya niombe ushauri kwenu ni kwamba tikiti zinapoanza kukomaa Kuna viumbe aina...
Habari wanajamvi na wataalamu wa kilimo
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimekuwa na utaratibu wa kuzunguka shamban kwangu mara kwa mara ,,,Leo nimegundua kuna wadudu wa aina mbili ambao...
Wafugaji wengi hufanya makosa makubwa sana ya kuanza kujenga banda na hatimae kuanza kufuga, bila kuwaza namna ya kutengeneza chakula mwenyewe.
Bila kuwa na chakula chako mwenyewe, mifugo inatesa...
Tanganyika ilikuwa eneo la kilimo katika utawala wa Uingereza. Walitangaza uwekezaji katika kilimo na waliopenda kuwekeza iliwapasa kuonyonyesha uwezo wao wa kuiendeleza ardhi kabla ya kupatiwa...
Hii wizara inangoja nini kutoa mwongozo wa zao la choroko kuhusu bei maana imekua kimya alimanusura tupo Afghanstan.
Waziri husika embu changamka sio mpaka Rais Samia afanye kila jambo.
NB...
Habari wadau,
Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo.
Lengo ni hasa...
Wakubwaa..!
Samahani kwa yeyote anae fahamu bei ya Ndizi Tukuyu/Kiwira na utaratibu unaotakiwa kufuatwa ukitaka kununua.
Pia namna ya kusafirisha mpaka Dar es salaam nauli zinakuwaje, kodi pia...
Dripp and irrigation systems installation tuna funga mifumo ya kisasa ya umwagiliaji na pia ukiitaji vifaa na machine za mashambani zinapitakana. We are providing irrigation installation services...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.