Unapofikiria kufanya mradi wa ufugaji wa kuku , hitajio la kwanza na la muhimu ni kuwa na mabanda bora ya kufugai kuku wako. Kwa bahati mbaya sana ujenzi wake umekuwa ghali na hivyo kuwakatisha...
Muhimu sana wakuu.
Tanzania yetu, ya viwanda inahitaji maendeleo na uwekezaji wa kudumu katika kilimo na biashara.
Kilimo cha miti, ni kilimo kikubwa na kina faida sana kwa nchi yetu, kutokana na...
Hbr za leo wakuu,tafadhali naomba msaada ktk maswala yafuatayo:
1. Je naweza kuwachanja kuku
wangu chanjo ya ndui japo muda
umeshapita?
2. Ni sahihi kuwachanja kuku chanjo
hii wakiwa...
Ninafuga ng'ombe wa kisasa.Kipindi hiki cha mvua wanakula majani mabichi na machanga maana yako kwa wingi.Nimegundua maziwa wanatoa ni bora lakini sio mazito kama wakati ule wa kiangazi.Wazoefu...
Habari wapendwa,nina nusu heka ya shamba nahitaji kulima nyanya...je, ni kiasi gani cha pesa naweza kugharamia kuanzia ununuzi wa miche mpaka kufikia kuvuna wapendwa
Wapendwa nahitaji kufanya biashara ya samaki
Kutoka tanga to Moshi
Au mwanza to Moshi
Kwa wezangu ambao wameisha Fanya biashara hiyo naombeni.ushauri wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Ndg. wana Jff.
.
.
.
.
Kama kichwa tajwa hapo juu cha mada, Mimi ni mjasiriamali ambaye nalenga ufunguzi wa duka la pembejeo za mifugo.
Hivyo niko mbele yenu kuhitaji msaada wa jina ambalo...
Nahitaji kufahama kuhisu ufugaji wa swan bata bikini (goose) na turkey (bata mzinga) nahitaji kufahamu bei ya vifaranga wao,wakubwa na bei ya mayai yao.Pia wapi wanapatikana
Wapendwa nimechoka na ajira za kubangaiza za bongo, nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga. Ninachoomba msaada kwa wanajukwaa ni haya maswali...
Kuna aina nyingi sana za mbegu za Nyanya Hybrid.
Zifuatazo ni mbegu na maeneo zinazokubali na kupata mavuno mengi.
1.Eden f1 inakubali maeneo yote tanzania.
2.Assila f1 tanzania nzima...
Babu yangu alikuwa na ardhi kama ekari 70 hivi lakini hakujua alifanyie nini maana kilimo cha kipindi hicho kilikuwa cha chakula ,hivyo ekari 70 ulime ale nani kila familia ina ekari 5 zenye kila...
Wakuu natumai nyote muwazima naombeni msaada mimi ni mkulima ninaemiliki shamba mkoani Tanga wilaya ya kilindi kijiji cha masagusa, nimekuwa nikisumbuliwa mara kwa mara na wafugaji jamii ya...