The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,433
- 13,415
Babu yangu alikuwa na ardhi kama ekari 70 hivi lakini hakujua alifanyie nini maana kilimo cha kipindi hicho kilikuwa cha chakula ,hivyo ekari 70 ulime ale nani kila familia ina ekari 5 zenye kila zao linalowafaa kwa mwaka .
Ghafla kikaja kilimo cha alizeti ,kikahamasishwa hasa mzee akalima lote ,tatizo wafugaji walizoe kuchungia hapo na hakuna aliejali maana ilikuwa majani tu ,sasa ukaanza ugomvi wanaingiza mifugo na tukianzisha kesi kwa mwenyekiti wa kijiji unakuta wenzetu wanauza ngómbe moja tu wanahonga wanashinda kesi .
Mzee alikuja na mbinu ya hatari ya kimafia ,alipanda sambamba na mazao majani haya
kikwetu mupizo (meekweed)
Majani haya mara baada ya mfugo kuyala hufa baada ya siku mbili hivyo hakuna ushahidi maana hawafii walipoharibu mazao ,mzeealizungushia hatua kama tano shamba zima na katikati aliweka randomly tuvichaka ,pi alikuwa na chukua ndoo ya maji yenye kilo mbili za chumvi na kuyangunyizia ,jalibu ukiona ngombe wanakula kakojolee majani basi watakula ulipokojoa majani hadi mizizi maana wanapenda chumvi chumvi,kisha akawaarifu ,wakaenda kushitaki kijijini eti hii sio sawa ,akawauliza kama mnauhakika hamna mpango wa kuleta ngómbe mnahofia nn?
Basi kusikia hivyo wakulima wote waka panda haya majani na heshima ikarudi .