Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwa wale ndugu zangu wenye mawzo mazuri ya kilimo na ufugaji wakati ni huu tumia fursa hii bofya hapa AECF Agribusiness Africa Window Great Business Ideas
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi ni mkulima mdogo wa machungwa niko Muheza Tanga. Ila kwa mwaka huu wakulima wa machungwa tumeangukia kabisa kwani machungwa yanaoza wanunuzi hawaonekani Tumezoea ikifika mwezi huu wa Tisa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Profesa Aboud Kwa ufupi Watanzania wengi wangeweza kulima mboga, hivyo kuwasaidia kiuchumi kupitia njia hii. Watu wengi katika jamii za mijini wameshindwa kuendesha shughuli za kilimo...
3 Reactions
24 Replies
19K Views
Habari wanajamvi Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimeona aina ya kuku ambayo sikupata kuisikia - BUKINI. Najua kuwa kuna BATA BUKINI kumbe sasa hata KUKU BUKINI wapo? Kwa wale...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Tunaendelea na Muendelezo wetu wa jinsi ya kushinda na uwe katika mafanikio katika biashara ya network marketing( Biashara ya Mtandao ) sehemu ya pili tulielezea sababu za kushindwa kufanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu naomba mnisaidie kama kuna mtu anaifahamu hii mbegu au amewahi kuitumia sifa zake zikoje uzaaji huduma nachangamoto zake
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Igweeee.. Ni matumaini yangu mu-wazima wa afya. Naamini wafugaji wakuku mnatambua uwezo mkubwa wa kuku katika kutambua hatari iliyo mbele yake; kama vile mwewe, kipanga, mbwa, paka, nyoka na...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari wakuu? Naomba kujua wapi nitapata huduma ya kupimiwa afya ya udongo kwa ajili ya kujua udongo unafaa kwa zao lipi? Nipo Mwanza
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa Kwa muda sasa naona mbegu za Mapapai zilizoko sokoni, ni Malikia kutoka China tena kwa bei ya juu sana (around 15,000shs pct ndogo) Ina maana sisi (TANZANIA) hatuna mbegu zetu mbadala...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo Mwanza anaejua vizuri kuhusu uyoga plz atujunze Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za leo wadau ninaomba kujua idadi ya miembe ya kisasa inatotakiwa kupandwa kwenye shamba ekari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yeyote mwenye mabanda ya kufugia( hasa kuku au kitimoto) pembeni ya jiji la dar nicheck pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kilimo hai au organic farming ni aina ya kilimo kinachozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo. Kilimo hicho kinatumia mbolea na madawa yasiyotengenezwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu Wajasiliamali! Nakuja tena wadau hasa kwa wale wenye idea juu ya zao na la karanga katika soko na kilimo chake naombeni uzoefu wenu,juu ya zao ilo na changamoto zake hasa katika...
1 Reactions
30 Replies
60K Views
Mradi mkubwaa wa kilimo cha kisasa cha kibiashara zao la korosho na alizeti, waanza kupitia kampuni ya namaingo business agency ltd. Mkurugenzi wa kampuni ya Namaingo anapongeza uongonzi wa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Pamoja na umuhimu wa zao la nyanya, wadudu waharibifu na magonjwa huathiri uzalishaji na ubora wa matunda. Sasa ili mkulima aweze kupata faida na kuongeza pato lake ni vema kuzingatia udhibiti wa...
2 Reactions
3 Replies
14K Views
Kwenye Kilimo kuna Chaine kubwasana. 1. Kuna wauzaji wa pembejeo za Kilimo hao nao ni wakulima. 2. Kuna Wanao toa mikopo ya Kilimo pekee. 3. Kuna wakulima wenyewe. 4. Kuna Processor wa Mazao...
6 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani mm nna hekari 8 za miti nilitaka mkopo ni bank zipi niende naomba kujuzwa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za zenu! Napenda leo kushea makala hii ndogo niliyoiandaa inayozungumzia masuala ya ulipaji wa kodi katika shughuli za kilimo. Na nimeona niilete makala hii hususani katika jukwaa letu...
8 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…