Habari ndugu zangu, naomba kujua kuhusiana na kilimo cha maua kama vile waridi (roses). Ikiwa kuna mtu anafanya hiki kilimo au ana ufahamu nacho ni vema ukashea uzoefu wako hapa kwa manufaa ya...
Kifaa hiki chenye uzito wa kilo 18 kina uwezo wa kubeba kilo 80. Humuwezesha mtu kufikia juu ya manzi na kuangua nazi.
Kifaa hiki kilivumbuliwa kutokana na idadi ya wakwezi wa jadi kupungua na...
Wakuu habari za jioni nmepata hekari 1000 ambazo zipo kwajili ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hizo zimetolewa na serikali ya kijiji kwenye wilaya maarufu ya kilimo cha mpunga mashariti...
Habari za asubuhi wanajamvi, mimi ni kijana niliyeamua kujikita katika ufugaji kama njia mbadala ya kujiongezea kipato.
Nilianza na nguruwe 6 ambao wanaendelea vizur (wale wenye mabaka meusi)...
Wasalama Wana jamvi
Mimi ni mtanzania ambaye nimeitikia wito wa Serikali wa kulima kilimo cha korosho katika mkoa wa Tabora wilaya ya Kaliua na mpaka sasa nina ekari 20 za korosho zenye umri...
Muhogo ni zao la chakula na biashara lakini siku za hivi karibuni limeonekana kushamiri sana katika uwanda wa biashara kwa kusaidiana na kushirikiana na mashirika mbalimbali ili kupendeleza...
Campaign kubwa ya Kitaifa ya Cassava for life yazinduliwa Kilindi Mkoani Tanga.
Naibu wa Waziri wa Kilimo Mh Omary Mgumba amezindua kampeni kubwa sana Nchini ya Cassava for life Kilindi Mkoani...
Habari waungwana. Kuna mwenye ufahamu wa yalipo mashamba ya mpunga ya scheme ya umwagiliaji Ruvu? Au mwenye taarifa kuhusu kilimo katika scheme hii aelezee tafadhali. Shukran.
Habarin wadau
kwa mwanakilimo yoyote ili afanikiwe lazima ajiongeze na kwa sasa ajira ni ngumu sana.
Jongoo wamekuwa kimbilio kubwa la utajiri kwa sasa huna haja ya kutumia pesa ndefu kuwekeza...
Wanajukwaa nawasalimu.
Hivi gharama za kuunda ngalawa yenye uwezo wa kubeba hadi tani 1 ya mzigo...inaweza kuwa bei gan?? Na ni wapi hasa wanapatikana wahunzi wabobezi katika ukanda wa pwani?!?
Habari wana jf nakuombeni kujua zaidi ni wapi hizo lishe za ng,ombe mmoja kuongezeka kilo 2 na nusu kwa siku zinapatikana wapi katika mikoa ya Arusha na Moshi Natanguliza shukran
Habarini za siku.
Naomba kujua idadi ya miche ya minazi inayoweza kupandwa kwenye eka moja ya ardhi. Pili nataka nijue aina ya mbegu bora kwa mazingira ya mkoa wa Pwani.
Habari za wakati huu, naimani ni wazima bukheri wa afya na mungu anaendelea kutupigania kila iitwapo leo.
Niende kwenye mada moja kwa moja. Binafsi nimekuwa na mpango mkakati kwa muda sasa...
Nahitaji MTU wa kuniuzia dawa zifuatazo kwa bei ya jumla,amprolium,salfa dimin,s-dime,chick formula,OTC powder,trifarm,esb3,egg boosta,ascarex,piperazine,ant cocidiosis,farm acid,layer premix,na...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naishi Rufiji Bungu, ni eneo linalojishughulisha sana na shughuli za kilimo hasa mihogo, ufuta na korosho. kipindi hiki ni kipindi ambacho ufuta unavunwa...
Salaam wanabodi
Naomba link ya kujoin whatsap group la wafugaji wa ng'ombe na mbuzi,
Nategemea kuanza ufugaji, hivyo nahitaji maarifa kutoka kwa wafugaji na wadau kutoka huko.
Nategemea msaada...