Wanajamvi nimekuwa mfugaji wa ng'ombe wa maziwa wa kuchunga kwa miaka kama 10. Hata hivyo nimepata changamoto zake hasa upande wa magonjwa na kesi za majirani kila wakati. Pia wezi wanathaminisha...
Katika hotuba ya Mhe. Rais leo anasema watu wake walipenyeza sampuli za mapapai na mafenesi katika maabara ya Vipimo vya COVID-19. Ikagundulika vina Corona.
Hali hii inaweza kuleta athari mbaya...
Habari za mdaa huu wakuu.
Najipanga kununua trekta kwa ajili ya kilimo hivyo basi naomba wale wenye uziefu na matrekta mnipe ushauri wa ipi trekta bora kati ya new Holland na John Deere...
Kwa formular nyingine za chakula cha kuku waweza ni PM tukazungumza friendly bila tatizo.
Maana kila formular moja ya chakula cha kuku iko na option 4. (Hapo juu ni option moja wapo ya broiler...
Hello JF members!
Natoa shukrani za dhati kwa hili jukwaa. Ni kwa namna nyingi nimenufaika nalo.
kwa wale wanaotaka kujifunza kutengeneza mkaa nimewaanzishia huu uzi. Najua wapo walioamua kuuza...
SASSO, ni aina ya Kuku na vile vile ni Brand name ya kampuni kubwa kabisa ya kuku wa SASSO iiyopo Ufaransa na SASSO walianzia huko Ufaransa mwakma 1978
SASSO ni free range chicken yaani ni kuku...
Habari zenu
Mimi ni msichana na Mkulima mchanga nipo Mkoa wa Kilimanjaro. Ni mwaka wa pili sasa tangu nimeanza kilimo. Naomba mniunganishe la group la wakulima wenzangu kutoka Kilimanjaro au...
Mara nyingi kutokana na namna ya maisha na katika kupambana na gharama za maisha watu wamekuwa wanahangaika kutafuta namna ya kuzungusha pesa zao hasa katika njia zenye matokeo yenye mrejesho wa...
Nimepanda mahindi yangu na mwanzo nilipambana na viwavi jeshi. Sasa huyu ndege analeta madharau. Je, nimmalizie au Kigwangala atakuja juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini ndugu zangu natumai mko vyema na majukumu yenu ya kila Siku ya maisha. Ningependa kutumia nafasi hii kupewa elimu juu ya kilimo cha mahindi.
Swala langu limejikita sana katika kufahamu...
Tafadhali nipeni msaada wazoefu, msimu gani unafaa kwa kilimo cha mazao tajwa hapo juu,pamoja na gharama zitakazotumika kuhudumia,lengo langu ni 50M mtaji nilionao cash ni 10M ,lengo langu kuwa...
Fiwi ni zao ambalo linawatoa sana wakulima wa mikoa ya Kilimanjaro (Mwanga, Same) na Tanga (Mombo). Soko lake hasa ni KENYA.
Sasa kwa wazoefu na wajuzi naomba kujua ikiwa kuna mbegu maalumu ama...
Mkazi wa Njombe, Steven Mlimbila maarufu kwa jina la ‘Nemes’ alipofukuzwa kazi hakudhani kama angeweza kusimama tena.
Mlimbila aliamini ndoto zake kiuchumi zimekufa kwa sababu ya kuondolewa...
Ni ukweli wa wazi kuwa wakulima wengi wanamiliki pikpiki hasa za kichina na India. Lakin zinatumika kwa usafiri tu. Nina wazo la kuongeza kifaa kidogo ili hiyo hiyo pikipiki iweze kumpeleka mtu...