Hello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali...
Mimi ni mkulima, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu kupanda kwa bei ya mbolea, hasa Urea na NPK. Kwa sasa hali imekuwa ngumu sana kwa wakulima kwa sababu hakuna bei inayofanana wala kufuatwa...
Habari jamii forums Kuna changamoto ya kupanda kwa mbolea húsusan hizi za ruzuku na wakulima hatujapata taarifa yoyote.
Je, serikali imeondoa ruzuku katika mbolea za ruzuku bila kutoa taarifa kwa...
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi...
Tukitoa majanga ya asili kama mafuriko,ukame wa ghafla,magonjwa kunabaadhi ya mambo hufanywa na mkulima mwenyewe na kusababisha kuangukia pua na akaishia kulaani na kulaumu kilimo maisha yake yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.