The launch of Uganda’s first-ever satellite, PearlAfricaSat-1, has been postponed to October 28 because of bad weather.
The launch, which is supposed to be accomplished by America’s National...
Makamu wa Rais, Maj Jessica Alupo, Waziri wa Mambo ya Ndani Meja Jenerali Kahinda Otafiire, na Waziri wa Ulinzi Vincent Ssempijja ni miongoni mwa viongozi wa Uganda ambao wametia saini barua ya...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema hakuna haja ya kuweka vikwazo ikiwemo marufuku ya kutotoka nje katika maeneo yenye mlipuko wa #Ebola kwa sababu Ugonjwa huo unaosababishwa na Virusi...
Ofisi ya Shirika la Afya Duniani Kusini mwa Jangwa la Sahara imesema mlipuko wa #Ebola unaoendelea nchini Uganda uligunduliwa kwa kuchelewa baada ya Uchunguzi wa awali kuonesha kuwa dalili...
Idadi hiyo ni ndani ya wiki moja tangu mlipuko utangazwe eneo la Mubende na kusambaa Kyegegwa na Kassanda wakati idadi ya wanaodaiwa kuwa na maambukizi ni 36.
Aidh, Rais wa Jumuiya ya Madaktari...
Brave Ugandan Teen Tricks Western Leaders with Question that Prove they are All Liars
Ugandan climate activist Vanessa Nakate has confronted rich countries over their refusal to provide
finance...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania.
Wiki mbili zilizopita...
Wahudumu wa Afya walio katika Mafunzo ya Kwa Vitendo (Interns) wakiwemo Madaktari, Wauguzi na Wafamasia wanaokabiliana na Ebola katika Hospitali ya Mubende wametangaza mgomo kupinga Ufinyu wa...
Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7...
Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende...
Mgonjwa mwingine ambaye ni mtoto mdogo, amefariki kwa Ebola katika hospitali moja katikati mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa taarifa za gazeti la New Vision la nchini humo.
Maafisa wa afya wanasema...
Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji...
Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemkorasia ya Kongo anasema Uganda imeanza kuilipa Kinshasa fidia ya dola milioni 65 kati ya 325 kama ilivyoamriwa na Mahakama ya Sheria ya Kimataifa ICJ...
Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo.
Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu...
Afande it's here
Flash Report:
Torture
SD Ref: 06/03/09/2022
Brief facts
It was today on 3rd September 2022 at around 1500/c when the OC Busula Police Station recieved information that a video...
Polisi nchini Uganda imewafungulia mashtaka maafisa wake wanne waliovamia sherehe ya harusi wiki iliyopita na kumkamata bibi harusi wakimtuhumu kwa wizi.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Polisi, Fred...
Serikali inaongeza vituo 2,000 zaidi vya Wi-Fi ya bure kote nchini katika hatua ambayo inatajwa kuongeza ufikiaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, ikiwemo wakati wa...
Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu.
Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza...
Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo...