Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu mi utata wangu wote hapa nimekwama. Nani mtata wa kulock hii simu. Yaan una lock screen mtu akitaka kuitumia aingize password
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Simu yako inapata Sana Joto !!! Ulikua unatumia simu fresh tu ghafla simu imebadilika na kuanza tabia za ajabu inapata joto sio mchezo ๐Ÿ˜, ukitumia kidogo ilo joto lake unaweza sema umechemsha...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana. Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8. Sasa nikajaribu...
11 Reactions
49 Replies
7K Views
Hello guys, Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna...
0 Reactions
4 Replies
561 Views
Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy...
0 Reactions
6 Replies
780 Views
Umeshindwa kupakua video na audio toka YouTube? Moja Kati ya mambo yanayowasumbua sana watu ni kuweza kupakua video pamoja na audio kutoka kwenye YouTube na kuweka kwenye simu yake? Kama...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Ni kwamba Tanzania nzima hakuna watu wanaotoa huduma ya DTG(Direct To Garment) Printin?
0 Reactions
1 Replies
336 Views
๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜€๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฐ๐—ต ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ž๐—ฎ๐—น๐—ถ ?? Utafiti mpya umebaini kuwa mikanda ya saa za kisasa (smartwatch) zimejaa kemikali zenye sumu isiyoondoka kwenye mwili wako(forever...
3 Reactions
6 Replies
752 Views
ZIJUE MAANA ZA ALAMA TOFAUTI TOFAUTI ZA MITANDAO YA SIMU (G, E, 3G, H/H+, 4G, 5G, VoLTE) Hizi alama najua umewahi kuziona sana kwenye simu unapokua maeneo tofauti tofauti ya dunia na una uzoefu...
13 Reactions
7 Replies
5K Views
Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru...
1 Reactions
11 Replies
769 Views
Habari za asibuhi wakuu, Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake? Waatalamu wa electronics na...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Hata mimi nazitaka
0 Reactions
11 Replies
965 Views
โœ…35*0000*11# Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote, Kutoa Piga #35*0000*11# โœ…*33*0000*11# Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga, hii nzuri...
16 Reactions
23 Replies
7K Views
Wakuu,, Sasa hivi home kwangu natumia Dishi ya Azam inayotumia docoder ya kawaida.. So naweza kupata Cam card pekee ili niweze kuweka kwenye TV yangu bila kutumia decorder.. maana hii CamCard...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu nauza simu hiyo gb64 ram 3gb used nimeitumia miezi kadhaa
3 Reactions
20 Replies
855 Views
Wakuu Msaada pls, Nimenunua Hisense dukani, nakuja home nimenotice kila baada ya muda flani sauti inajishusha mpk 0..na pia kuna kaujumbe kanaanzia na REVERT. Nisipobonyeza any button TV...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo...
3 Reactions
4 Replies
953 Views
Vifurushi vilivyopo: - Tsh 10,000 lite - Tsh 18,000 pure - Tsh 23,000 plus - Tsh 28,000 play Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo! Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000...
0 Reactions
8 Replies
38K Views
Naenda moja kwa moja kwenye mada! Nime-boot flash na kuweka humo Windows 10, baada ya ku-restart na kubonyeza F9 na kupata chagua la USB kila nikiichagua hilo chaguo computer inajirudi sehemu ya...
1 Reactions
2 Replies
393 Views
Kuna hako ka Pembe tatu karibu na Bar za Network naomben Kujua zinamaanisha nn maana nimejaribu kuzitoa nimeahindwa Nina wasiwasi isijeikawa wameni track
4 Reactions
14 Replies
579 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ