Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu poleni na majukumu. Naomba msaada wa Lsnp Unlocker software, kuna simu ya Vivo y71 ipo kwenye system repair mode nataka kui fix. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
1 Reactions
0 Replies
453 Views
Habari wana JF, nahitaji kujua bei nzuri an affordable ya Pasi kampuni ya PHILIPS. Nimejaribu kupitia uzi bei zina range 28k adi 40k ila nimepitia jiji Tz kule naona bei zake zina range 50k adi...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena...
1 Reactions
5 Replies
621 Views
Hello bosses. Kwenye technology yoyote ile kwa sasa kuna watu muhimu sana ambao wengi hawawafahamu bali wanaishia kuona maajabu yao tu, watu hao sio wengine bali ni COMPUTER PROGRAMMERS au...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua app au mfumo wa ku connect smartphone moja kuwa mic na nyingine ichukue video km unafanya interview. Mfano kwenye picha nime screenshot hapo chini
2 Reactions
9 Replies
792 Views
Wapwa habari ya jion boss mkubwa majizzo amatoa sound zake zinaitwa jizo sound nimesikia zimeanza kuuzwa pale palm village Je Kwa mliotembelea shop pale vipi Bei yake ipoje na pia sound yake ipo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
๐—๐—”๐—ฃ๐—”๐—ก ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฅ๐—จ๐—›๐—จ๐—ฆ๐—จ ๐—ช๐—”๐—ง๐—”๐—™๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ž๐—จ๐—จ๐— ๐—•๐—” ๐—•๐—œ๐—ก๐—”๐——๐—”๐— ๐—จ Dunia na maajabu yake!! ๐Ÿ‘‹ Nchini Japan mwaka 2019 waliweza kupitisha Utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu. Mfumo huo...
1 Reactions
1 Replies
264 Views
Habari zenu wakuuโ€ฆ Naomba Leo tuongee kuhusu mambo haya ya programming, kwa maana watu wengi huwa wanahisi programming ni ngumu na hii yote ni kutokana na kutokujua msingi na dhima ya programming...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu...
29 Reactions
98 Replies
32K Views
Kwa sababu hiyo app ndio inasababisha simu za iphone zionekane ni mbovu kwa sababu ya kufunguliwa mara kwa mara, kwaajili ya kubadilisha battery unakuta fundi kwa bahati mbaya amekanda mikanda Na...
4 Reactions
8 Replies
734 Views
Wakuu kwema Nafundisha Programming kwa bei rahisi saana nafundisha language zifuatazo. 1.PHP 2.JAVASCRIPT 3.HTML 4.CSS 5.REACT NATIVE IN DEEP DOWN 6.EXPRESS JS 7.LARAVEL IN DEEP DOWN...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Wataalamu,nilikuwa nauliza inawezekana kutengeneza mfumo kwa kutumia WordPress kwa ajili ya kuplace order! Unahizi functionalities! โ€ข Wafanyakazi wa ofisi wanaweza kuweka maombi(order...
4 Reactions
13 Replies
688 Views
Hope mko poa. Now days mambo yamekua marahisi sana tuna autosourcing nyingi za kujifunza ila tatizo ni kuchagua Luga sahihi kwa mda sahihi Sasa leo nataka nikuandike lugha za kujifunza ...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
๐—ฆ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ฒ๐—ผ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ Kwenye page ya @picabuzz , katika siku chache zilizopita walifanikiwa kunasa picha nzuri yenye kupendeza wakati wa siku baada ya kuona sayari zote ziliweza...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
sold
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu wana Tech Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanangโ€™oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu...
0 Reactions
12 Replies
969 Views
Salaam, Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Baada ya kuona review kadhaa nimeona nifungue account ds. Sasa Code niliotumiwa nikiingiza inasema invalid code. Nimejaibu mara ksdhaa bado imegoma. Baadhi ya system huwa code no ikigoma huwa...
0 Reactions
5 Replies
779 Views
Habar wakuu, Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn. Natakiwa ninunue nin...
0 Reactions
4 Replies
643 Views
Simu tajwa nikiichaji inaleta Alama ya pembe tatu rangi ya njano. Sijui tatizo nini? Kuna vitu vyangu kibao nataka kuhamisha msaada wajuzi. Na chaji haingizi.
1 Reactions
8 Replies
481 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ