JInsi ya kuondoa AUTOPLAY ya FLASH yako ili kujikinga na virus
fuata njia hizi
start..run..
type "gpedit.msc"
then click "COMPUTER CONFIGRATION"
open "ADINISTRATIVE TEMPLATE"
open "SYSTEM"...
Aisee wakuu, hili game jamani likitoka si litafanya watu wasiende makazini au kuingia class kwa wana vyuo? sjaona game yenye reality kama hii so far. Lakini kama nimeona platforms itakua kwa PS3...
Hello jf msaada unahitajika pc yangu ukifungua inaleta sms hii dll is missing mara virtual memory is low kwa hiyo inachukua muda sana ku load files msaada please
Salaam wakuu,
Yaan tangu nianze kucheza ea games (whether fifa, NFL, nba live, NFS etc.) Sijawahi kupata game inayokubali kucheza online. Wale jamaa wajanja aisee unainstall frsh ila ukitaka...
Jinsi ya kujua information juu ya pc yako cha kufanya
1..go to start
2..type run
3..ingiza neno hilo "dxdiag" kisha bonya enter
.....you can see your configuration
Heres 20 of the best liked Facebook fan and welcome pages in terms of how well they are
famous and how creatively theyre promoting their brand. Using three online tools I was able to
compile...
ndg,wana jf,wenzangu,najua watanzania,kwa sasa tupo katika mfumo wa digital,na tayari makampuni ma 3,yamesha pewa leseni ya kusambaza na kutoa huduma ya matangazo ya digital,lakini mpaka sasa ni...
Wanajamvi mimi nilianza kujifunza programming tuseme accidentally to it was when I was still in form 3.. Na language ya kwanza kuigundua na kuanza kujifunza ilikua HTML hivohivo kwa bahati nasibu...
Habari wakuu,
tafadhali naomba msaada wa namna ya kupanga matokeo ili mwanafunzi wa kwanza aanze namba moja hadi wa mwisho kwa wingi wa alama zao,wako wanafunzi 302,
hapa nshaandika majina yao...
The 5C is too expensive and the 5S doesn't innovate
Shares in fell by 5.4% yesterday as Wall Street reacted to Cupertino's launch of the iPhone 5C and 5S, the day before.
Investors have...