Heshima mbele wakuu
Nina computer 3 aina ya DELL optiplex 760, zinasumbua sana ukiwasha zinabaki kuwaka taa rangi ya orange.
Marekebisho yake inatakiwa kubadili motherboard. Kama kuna mtu yeyote...
Mwenye kujua namna galileo inavyofanya kazi tafadhali anijuze, ikiwemo configurations zake (i.e IPCS address and other connections). Na je hii application inahitaji license au ni free.
Naomba...
habari zenu wana jf..
nina laptop yangu aina ya hp 6535b, na nimeinunua used tangu 2012 na ilikuwa safi tu mpaka mwaka huu mwezi wa tano ilipogoma kuwaka mpaka leo hii!
ilianza tatizo hili...
naomba msaada nataka kujifunza computer programming ila sijui nianze na lunguage ipi, maana zipo kiba, je ipi ni bora zaidi kwa mtu kama mimi sina background yeyote katika PC progmm language?
Wakuu hii flash imegoma kusoma kwenye pc,ukiscan yale mafail yanaonekana yakiskanika na inaonekana kabisa kuwa yamejaa kwny flash ila ukiopen unakuta empty.
C6 CHIEF MKWAWA MWONGOZN WENU
Nimepoteza huawei ascend g510.
Sikumbuki akaunti ya gmail ya simu ile bt nina imei no.
Any help please it contain many vital information.
Please!
Sijalala nasubiria notification ya sim change...
Kuna mtu ameniomba nim-recommend the best state of art laptop with top specifications and high performance.
Pia ameomba nim-recommend the best smartphone with greater specs, high performance na...
Wakuu nina tatizo ku initialize hilo game linaishia ku display logo then haliendelei. game nimeli download jana na kila nikifungua halifunguki ila zinatokea crush dumb error messages nimejaribu...