Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Anonymous
Wadau, Nimekuwa nikifuatilia mashindano ya MAKISATU 2026 yaliyoendeshwa na COSTECH. Ninashangaa kwamba wavumbuzi wengi wachanga wanaojituma peke yao hawapati nafasi. MAKISATU inaeleza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
66 Views
Router ya Voda imeandikwa 5G na niliichukua Vodashop. Lakini ajabu ni kwamba, panel yake inasoma 4G na spidi (Mbps) haifiki hata 25 kwa kifurushi cha Tsh. 110,000. Hii imekaaje? Yaani unanunua...
3 Reactions
21 Replies
395 Views
Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara...
12 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari, Naomba tusaidiwe kufikisha ujumbe huu kuhusu huduma ya mtandao wa Airtel. Kwa sasa tuna siku ya tatu hatupati huduma ya intaneti kabisa, lakini kila tunapowasiliana na huduma kwa wateja...
3 Reactions
6 Replies
258 Views
Anonymous
Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi...
12 Reactions
19 Replies
717 Views
Anonymous (9b22)
Shida ni kwamba hizi Telecom Companies na pia other companies ambazo zinajihusisha na services za home internet hazisema ukweli interms of amount ya data unayopata, kwa mfano unaweza kulipa...
8 Reactions
32 Replies
825 Views
UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited? Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu? Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa...
21 Reactions
87 Replies
6K Views
Wana Jamvi, Habarini. Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Anonymous
Airtel kuna kitu wanaendelea kuwafanyia Wateja wao kwenye hizi router zao za 5G siyo kizuri. Wanakwambia kuwa internet ni unlimited ila ukitumia kwa siku 20 internet wanaishusha speed, mfano mimi...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom