Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kisa hujuma: Yanga Kupumzisha nyota wake . 🗣"Tutakuwa makini zaidi kwenye mechi yetu dhidi ya Mbeya Kwanza, tunajua mipango iliyopo, tutafanya hivi kujiweka katika nafasi salama kwa sababu...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
MWAKA 2018, CAF ilianzisha kituo cha usimamizi wa mechi ndani ya ofisi zake za makao makuu jijini Cairo, Misri. Kituo hicho kinachoitwa MATCH COMMAND CENTER, hufanya kazi kama moyo wa mtiririko...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau wenzangu Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi. Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa. Kwamba eti...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison...
14 Reactions
57 Replies
6K Views
Rais wa nchi MO Dewji. Waziri mkuu Barbara Gonzalenz. Waziri wa ulinzi Jonas Mkude Nungunungu. Wizara ya kazi Shomari Kapombe "show me the way"show show. Waziri wa katiba na sheria wakili msomi...
1 Reactions
5 Replies
754 Views
Binafsi nimeumia na sijapenda kunahaja ya kubadilika
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika kutoka Uganda zinasema kiungo anayekipiga Yanga huenda akajiunga na Simba dirisha dogo Pia habari zinaonyesha kuwa mkataba aliosaini kunako clab ya Yanga ni wa...
5 Reactions
89 Replies
8K Views
Je, wajuwa!! Mpiganaji wa zamani wa boxing Mike Iron Tyson, ni shabiki mkubwa wa Marehemu Diego Armando Maradona, mwamba alikuwa anamkubali sana mchezaji huyu wa karne na kupiga nae pictures kama...
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Kila mmoja ni shahidi kwa ili liliotea leo. Sisi kama taifa tuna safari ndefu kufikia mafanikio ambayo kila mtu anatamani kuyaona. Inatafakarisha tunataka kwenda mbele ikiwa vyanzo vinavyoweza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala. Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea. Tunajua ni huyu huyu...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaam, Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira. Wanasema hivi; 1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
1 Reactions
1 Replies
483 Views
Agents wa Carlo Ancelotti [emoji634] kocha wa Everton wapo mbioni kuvunja mkataba na team hio ili Ancelotti ajiunge na mabingwa wa La Liga (2019/2020). SIO TETESI TENA : It's official Ancelotti...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Haya sio maneno yangu...🤓
8 Reactions
13 Replies
1K Views
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja. GSM kuona...
19 Reactions
167 Replies
33K Views
Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Alafu watu wasiongelee[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]wanaficha nini sijui
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Tukiwa tunaelekea kwenye fainali ya Uefa Champions League ya msimu huu kati ya Manchetser City Vs Chelsea FC. Tujikumbushe katika miaka 10 iliyopita ni fainali gani ilikuvutia zaidi? Mimi fainali...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Back
Top Bottom