Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

2 Votes
Vijana ni kundi la watu ambalo lipo kati ya umri wa miaka 18 mpaka 40, hii hutofautiana kwa baadhi ya jamii nyingine. Kundi hili ndio kubwa zaidi kwenye nchi yetu na linaongezeka kwa kasi kila...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Upvote 2
2 Votes
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka...
2 Reactions
0 Replies
886 Views
Upvote 2
2 Votes
Baazi ya watanzania hawajui haki zako za msingi hata kishelia ila Nina mapendekezo vipi somo la haki za kibinaadam Kwa hapa Tanzania lisiwe miongoni mwao mtaala Wa elimi kuanzia ngazi ya msingi...
1 Reactions
0 Replies
189 Views
Upvote 2
0 Votes
SEKTA YA ELIMU TANZANIA BAADA YA MIAKA KUMI. sekta ya elimu ni sekta muhimu sana katika ukuaji wa maendeleo katika taifa sababu ndiosekta pekee ambayo inazalisha wataalamu mbalimbali ambao...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Upvote 0
6 Votes
Mradi wa build better tomorrow (BBT) Ambao serikari kupitia wizara ya kilimo ulianzisha mwaka 2022/2023 Lengo kuu ni kusaidia vijana kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo na ufugaji na kupunguza...
1 Reactions
0 Replies
454 Views
Upvote 6
1 Vote
All life depends on water, which is also an essential resource for household, industrial, and agricultural use. The significance of efficient water management in semi-arid areas, where water...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Upvote 1
2 Votes
Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Upvote 2
2 Votes
Nashiba nikionja ni Kila natapika!! Namshukuru aliye asili yangu Kwa pumzi na uweza wangu wa kupata na Kutoa taarifa Kwa jamii ya watanzania. Nyumba yangu imejengwa msingi tu,Haina Kuta,haija...
1 Reactions
0 Replies
342 Views
Upvote 2
0 Votes
UTANGULIZI Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika moja ya hotuba zake aliwahi kunukuliwa akisema kwamba “Dhima kuu ya elimu ni kuleta uhuru wa kifikra miongoni mwa watu, uhuru wa kifikra ambao...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Upvote 0
2 Votes
Mizigo ya Kodi katika Nchi Zinazoendelea Nchi nyingi zinazoendelea huweka kodi za juu za kampuni na viwango vya VAT, zikiwa na lengo la kupata fedha kwa ajili ya huduma za umma na miundombinu...
2 Reactions
0 Replies
237 Views
Upvote 2
2 Votes
Everyone has a dream, whether big or small but i surely means something to the dreamers. These dreams sometimes defines our hopes and expectations for what we want to achieve and heights we want...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Upvote 2
26 Votes
UTANGULIZI Serikali imeanzisha kampeni ya kupambana na usugu wa madawa na tiba za kiholela kwa wananchi kupitia kampeni iitwayo HOLELA HOLELA ITAKUKOST. Hii kampeni ni nzuri kwa jamii na ina...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Upvote 26
25 Votes
UTANGULIZI Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu umekuwa ugonjwa unaoongoza kuathiri watu miongoni mwa magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa. Kwa takwimu za mwaka 2024 zilizotolewa na Journal of Human...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Upvote 25
1 Vote
Kama taifa sasa tunashuhudia kumea kwa matabaka ya chuki kati ya jamii na watu wenye itikadi kali dhidi ya wengine ambao wanaonekana kuwa inferio ndani ya nchi yao. Wananchi ambao wanaonekana...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Upvote 1
0 Votes
Niwazi ya kuwa serikali iko mbioni kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wananchi na watanzania wote wanakuwa sehenu na maendeleo na utatuzi wa changamoto katika jamii Ukuwaji wa democrasia nchini na...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Upvote 0
8 Votes
Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Kama lilivyo tamu kulitamka jina la nchi yangu Tanzania ndivyo ninavyotamani kuona mabadiliko ya kijamii na kichumi kwa ujumla viwe na ladha hiyo ya utamu. Kumekuwa...
1 Reactions
5 Replies
634 Views
Upvote 8
2 Votes
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika adhima yake ya kuleta maendeleo kwa wanachi imekua ikifanya maboresho katika sekta ya elimu msingi , sekondari, vyuo vya ufundi na elimu ya juu...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Upvote 2
2 Votes
Mumbe ndio ulikubali ulotoka marekani Umeletwa kama msaada wa chakula nchini Kuongezwa virutubisho kuleta protini mwilini Mbona nchi nyingi zina njaa ikiwemo sudan kusini Mjumbe ndio mbona...
1 Reactions
0 Replies
137 Views
Upvote 2
2 Votes
Unyanyasaji kwa watoto ni tatizo ambalo la weza sababishwa na mtu mzima au mtoto kwa mtoto linalomfanya mtoto athirike. Laweza kumuathiri mtoto kimwili, kihisia, kingono. Pale tunaposhindwa...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Upvote 2
2 Votes
Utalii, ni kitendo cha kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la kujiburudisha au kujifunza. Tanzania ni moja kati ya nchi zenye vivutio vingi vya Utalii duniani na ikiwa ni nchi ya...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom