Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Mama yangu aliwahi kuniambia kuwa kwa mwanamke aliyeolewa, adui yake wa kwanza wa maisha na uhai wa ndoa yake ni mdomo wake meenyewe. Usinyanyue mdomo wako mwanaume anapoongea haijalishi...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Ministry of Health have been conducting outreach programs on mental health issues, but don’t you think it’s time to move beyond the generic playbook and focus on context-specific solutions...
1 Reactions
1 Replies
292 Views
Serikali ifikie hatua iwahurumie raia wake. Pichani, ni watoto wanne wa mama mmoja aliekuwa akilea mwenyewe. Baada ya zoezi la kamati ya jiji la bomoa bomoa kuanza, lilimuathiri. mama huyu...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Wanawake jamani! Sijui laana! Maana hata Shetani wanaemsingizia, nina uhakika atakuwa anawacheka tu mkitaja jina lake. Kamama hapo pichani, tayari kanaenda kutumikia kifungo cha maisha. Alikuwa...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Pichani, ni mtambo wa kuvuta na kuchakata Gas iliyopo ziwani(Kivu), kati ya DRC na Rwanda. Gas hiyo ijulikanayo kama Methane, inajulikana kuwa ni hatari sana ikilipuka. Ziwa Kivu, lipo karibu na...
1 Reactions
2 Replies
305 Views
Baada ya Rwanda Investigation Bureau kuwasaidia watu wapatao 10, kurudi nchini wakitokea Myanmar,walikopelekwa na matapeli kwa ahadi ya kazi, uongozi wa RIB umefanya kikao na vyombo vya...
1 Reactions
3 Replies
260 Views
Kwa mjibu wa ujumbe huu, waalimu wanalazimishwa kufungua account kwenye SACCOS ya Mwalimu. Wao, hutumia Banks nyingine za kibiashara, kutokana na faida wanazozipata, ikiwemo mikopo ya kuweza...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
1. Mi nakumbuka kipindi shule imelima mahindi, baada ya kuiva, tukawa tunaingia katikati, tunaiba tunaenda kuchoma. Siku moja mida kama ya saa tano usiku, walinzi wakawakamata jama wa4...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Ikiwa Burundi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu, siku zisizofikia hata wiki, ndo orodha ya wagombea, chama chao na makabila yanawekwa wazi. Ikumbukwe, vyama vya upinzani, vilikataliwa kwa kinachoitwa...
0 Reactions
2 Replies
298 Views
Maswali: -Je, linazama lote hili? -Je, baada ya hapo, linaombwa hela na lenyewe?
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Zimebaki siku chache sana kuelekea uchaguzi mkuu wa wabunge na rais nchini Burundi, ambapo ni tarehe 5 juni 2025. Mpaka sasa, kila kona ya nchi, kutokana na hali ya usalama, na hofu kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
445 Views
Asema mtoto wake, mwenye umri wa miaka mitatu. mpaka sasa ana tatizo la viungo vya mwili, ikiwemo mifupa kutokomaa. Toka anaanza kula, amekuwa akitumia mpira. Kwa maelezo yake, ni kwamba...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Mu gihugu gituranyi cya Tanzania, Banki imwe yitwa CRDB iravugwaho kugaragaza amakuru ya konti y’umukuru wa Polisi, IGP Wambura. Ese ni banki koko, ni abayinjiriye, iwacu byagenda bite!?
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Mwamba akabiliwa na shitaka la kumnyanyasa mkewe kijinsia, kwa kilichotasiliwa kama mumpiga na kumuumiza mkewe kisa kunyimwa haki yake ya ndoa. Baada ya kukaa ndani kwa muda wa wiki mbili sasa...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Bado tu mamia na mamia ya malori yanaendelea kusomba vitu kutoka Goma. Inaonekana SADC,hasa Afrika kusini walijiandaa vya kutosha,bahati mbaya ndo hivo, safari ya fedheha ndo kama hii. Shelia za...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
WALE WAHARIFU AMBAO MLISHIRIKI KWENYE KESI ZA MUAJI KAMA HIZI NA LEO HII TUMESHINDWA KUFANIKIWA KWA LAANA YA KIUMBE HIKI EBU WEKA COMMENT APO!
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Kampuni ya usafilishaji wa anga ya Rwandair, yapata nchi mpya 12 ambazo itakuwa inafanya safari zake. Ni baada ya kutangaza kufuta baadhi ya safari,kutokana na kufungiwa anga na jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Baba zenu, wake na mademu zenu, waume watarajiwa, kuna wakati wazima wanapanda popote. Kifuatacho, na nyie watu wazima
0 Reactions
2 Replies
204 Views
Bwana huyu pichani, kakumbana na vibaka waliomjeruhi na mpaka sasa yupo mahututi hospitalini. Miji mingi nchini Rwanda, imekuwa ikikumbwa na wingi wa vijana wasio na kazi, na hutegemea maisha yao...
0 Reactions
1 Replies
152 Views
Back
Top Bottom