Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Siku ya leo, wanajeshi 576 wa SADC,waliokuwa wamebaki nchini DRC, mission ya SAMIDRC, wameondoka na kuelekea Tanzania, ambapo watapandia ndege kurudishwa makwao. Zimebaki tu silaha nzito, ambazo...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Nyumba zipatazo 1,400(Elfu moja mia nne), zimeanza kuvunjwa, kwa amri ya uongozi wa jiiji la Kigali. Nyumba hizi zinazovunjwa, inasemekana zilijengwa pasipo kufuata taratibu. Cha kushanhaza...
0 Reactions
4 Replies
267 Views
Baada ya ripoti kutoka ngazi za chini hadi ngazi za wilaya nchini Rwanda, kuonyesha kila kitu kipo sawa, kwa sasa vyombo vya habari vinaendelea kufichua mengi. Pichani, ni watoto wa chekechea...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Pichanini tangazo kutoka account ya wizara ulinzi ya Rwanda, ikikanusha taarifa zilizosambazwa, zikionyesha wizara hiyo imeweka wazi hali ya sasa ya rais wa Rwanda.
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Wizara ya afya nchini Rwanda, inasisitiza wanaume na wao kujitokeza kupata huduma za uzazi wa mpango. Ambapo njia inayopendelewa kwa wanaume hao, ni ya kuziba mirija ya mbegu za kiume. Hii...
2 Reactions
1 Replies
235 Views
Ni badhi ya wanachuo waliohitimu December 2024. Walisema, baada ya MOUNT KENYA kubadilishiwa jina na kuitwa MOUNT KIGALI UNIVERSITY, kuna wanachuo walijikuta transcript zao zikionyesha miaka...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Katibu katika Wizara ya Afya nchini Rwanda, Dk. Yvan Butera, alitangaza kwamba mtu mmoja kati ya watano nchini Rwanda amepata tatizo la afya ya akili. Matatizo yaliyoenea zaidi kati ya haya ni...
0 Reactions
1 Replies
189 Views
Siku Baada ya Kifo: Siku ya 3: Kucha huanza kudondoka. Siku ya 4: Nywele huanza kuoza. Siku ya 5: Ubongo huyeyuka kwa kasi. Siku ya 6: Tumbo huchuruzika kutoka mdomoni na sehemu za siri. Siku ya...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Nchini Rwanda, watumiaji wa maji walioshindwa kulipa Bill zao, kuanzia sasa kuwekwa katika mfumo wa CRB. Mfumo huu, huwazuia watu kupata huduma mbali mbali, maana kila inapoingizwa namba yako ya...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Alisimulia akasema: Nilikuwa nimeoa, na mke wangu alikuwa mfupi wa kimo na mwenye mwili dhaifu ukinilinganisha na mimi… Mimi nilikuwa na urefu mkubwa na misuli mingi… Mwenyezi Mungu alinitunuku...
1 Reactions
1 Replies
249 Views
Hayo ni maneno ya General Maphwanya, mkuu wa jeshi la Afrika kusini. Aliesema vita vya DRC huenda vikapanuka na kuwa vya ukanda, aliona mbali. Je, atafanikiwa kweli? Taarifa zenyewe husema hii...
0 Reactions
2 Replies
239 Views
Kwa kichapo inachoendelea kupata Israel, ni wazi biashara na mataifa mbali mbali hazina priority. Inavoonekana, Israel haikutegemea itafumuliwa kwa kiasi tunachokiona. Watu wasio na makazi,miundo...
0 Reactions
1 Replies
138 Views
Hata kama uwezo mkubwa huna, harusi ni furaha ya moyo tuuuuuu
2 Reactions
5 Replies
217 Views
Kuna siku nliambiwa nimtaje rafiki yangu alaf atapigiwa simu nayye akinitaja me napewa 10000 nikamtaja aseee tena ni mtu nimekaa naye room moja kabisa na tunawasiliana kila siku alipoulizwa...
1 Reactions
3 Replies
143 Views
Breaking News Abarimu bagiye gusuzumwa abatazi Icyongereza bavanwe mu kazi.Minisitiri w’Intebe Dr Ngirente Edouard yatangaje ko Guverinoma y’u Rwanda irimo gutegura gahunda yo gusuzuma abarimu...
0 Reactions
3 Replies
192 Views
Siku ya leo, moto mkali umeshika mgahawa mmoja huko Goma. Uongozi wa jiji la Goma, uliomba msaada jeshi Polisi nchini Rwanda, kitengo cha zimamoto; MONUSCO, na yenyewe inasemekana ilileta gari...
1 Reactions
2 Replies
195 Views
Back
Top Bottom