Zamani mwanaume alikua anaoa sababu ya upendo...
Na mwanamke alikua na uwezo wa kuolewa na mtu asiyempenda na maisha yakasonga.
Lakini saivi mwanaume anaoa mwanamke ambaye anajua anafaa kua mama...
Ushauri wa bure kwako mwanaume: sio kila mwanamke anaekubali umuoe ni kweli anakupenda au anaipenda hio ndoa; la hasha. Pengine kaona uko kwenye njia ya mafanikio, umuoe aombe talaka mgawane...
Wanaume wengi hawavai vizuri si kwa sababu hawapendi fashion,
Bali maisha yamewavalisha majukumu hadi wamesahau hata kujinunulia shati jipya.
Wanakaa kimya, hawalalamiki…
Kwa sababu...
Hatuwezi ,,Hatuwezi ,, Hatuwezi kuwa sawa na wanaume ..Leo mwanamke unamkuta kaajiriwa mwanaume anapambana anavojua yeye Lkn bado ile pesa ya mwanaume unaikodolea macho ...Kuna Wanawake...
When you say your husband is abusing you in that marriage, many men were very nice to their women at first; they treated their women nicely.
However, some husbands started misbehaving as a...
SIKU MKEO AKIANZA KULALA NA MWANAUME MWINGINE JUA KIFO CHAKO KI KARIBU.......
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na...
Sehemu za siri za mwanamke, zikishikwa Na mwanaume hulainika. Maana yake ni kwamba mwanaume huyafanya maisha ya mwanamke kua malaini.
Sehemu za siri za mwanaume zikishikwa na mwanamke hua ngumu...
Mchumba wangu Alinipigia simu!
Hello baby, nina njaa sana muda huu.
Samahani unaeza kuja kwangu muda huu , na wakati unakuja naomba uniletee kuku dear.
Bila kupoteza muda, ilianza kutafuta...
Msichana mwenye umri wa miaka 11 aligundua kwamba alikuwa ameanza kuota nywele kati ya miguu yake, akawa na wasiwasi na kumuuliza Mama yake kuhusu nywele hizo. Mama yake akamwambia kwa utulivu...
Mabadiliko haya,yanapunguza kwa kiasi kikubwa muda wa watoto kukaa darasani. Kutoka saa tatu,sasa hivi wanafunzi wa asubuhi,wataingia darasani saa mbili. Watatoka saa tano na nusu,kwa ajili ya...
Ni baada ya kutangaza kwamba, mpaka mwisho wa mwaka huu, magari ya abiria yanayotumia mafuta, na pikipiki maarufu kama bpda boda, havitaruhusiwa tena kuingizwa jijini kwa ajili ya shughuli ya...
Jijini Kigali, Hoapitali ya CARAES Ndera,inayojihusisha na tiba ya magonjwa ya akili na mishipa, imetangaza kupata ongezeko kubwa la wanaotafuta huduma, wengi wao wakiwa vijana chini ya miaka 30...
Hivi, kwa anaejua matumizi ya hizi dawa za sindano, ina maana hata mtu akiwa ana HIV, unazagamua bila hofu au vipi? Ukishachoma! Ina maana, wazinzi wamewekwa sehemu salama?
Duniani tunalizwa na mengi, na ni mabaya toka kwa maadui zetu.
Machozi hayawezi kuisha, kwa sababu mama yao na maadui zetu, hubebeshwa mimba kila mmoja anapokuwa amezaliwa
Ikiwa kwa jirani wana maisha haya, na wewe unayewaangalia unachekelea, kesho keshokutwa, itakuwaje ikifika zamu yako?
Matukio mengine ya kukemea. Mtu anahangaika na kula tuuuu, wenye hela...