Mwanaume ukiona mwanamke wako kukutembelea ni hadi umbembeleze na kumuomba sana tena ni hadi utekeleze masharti yake kadha wa kadha ikiwemo kumtumia nauli hapo ndugu yangu shtuka mapema uamke...
Hali imekuwa tete nchini Burundi, kutokana na ukosefu wa umeme kwa muda mrefu.
Mbali na kusitishwa huduma nyingi zinazohitaji umeme, vichanga katika hospitali mbali mbali nchini vilivyokuwa chini...
Kiwanda cha Ryvid kutoka California, kimeingia sokoni nchini Rwanda, kwa ajili ya muazo ya pikipiki zitumiazo nishati ya umeme.
Bei zake ni kama ifuatavyo:
1. Ryvid Anthem $7,995,
2. Ryvid...
Katika mahusiano, kitu kinachoweza kumfanya mwanaume awe na furaha na kumtamani zaidi mke wake si sura nzuri pekee, si urembo wa mavazi, na hata si ujuzi wa jikoni pekee;
bali ni moyo wa shukrani...
Rwandair imenunua kwa mkupuo ndege mbili za Boeing 737-800. Kila moja in auwezo wa kubeba abilia 174.
Shilika hili la usafili wa anga, limeonyesha kukua kwa kasi, na baada ya kujiunga na Qatar...
Huko DRC, Kivu kuaini, inasemekana jeahi la serikali na wasaidizi wake,leo na jana wamemimina risasi kwa kutumia silaha nzito,katika makazi ya wanyamulenge.
Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka...
Watafiti wa shirika la Gamaleya huko Urusi, wamesema miaka miwili mbele, chanjo ya ukimwi itaanza kutolewa baada ya kuidhinishwa na shirika la afya duniani.
Sputnik V,chanjo ya Covid-19...
Huyu alihukumiwa kuhusika na mauaji halaiki nchini Rwanda dhidi ya watutsi, mwaka 1994. Alipomaliza kifungu chake, hakutaka kurudi Rwanda kufuatia hofu ya usalama wake. Pamoja na wenzie...
Moto uliozuka leo Bukavu na kuunguza nyumba na bidhaa za kibiashara, Rwanda imetuma kikosi chake cha zimamoto kutoa msaada, jambo lililowafurahisha wakazi wa mji huo na kudai ni matunda ya ujirani...
Kwa mara ya kwanza, katika zoezi la kuimalisha usalama na kujenga ngazi za usalama wake, M23 imetoa kwa mara ya kwanza, Police wake. Mkuu wa kundi hilo, Gen Sultani Makenga, ameomba wahitimu wawe...
https://kivutoday.com/outrage-as-wazalendo-rebels-undress-woman-allow-new-husband-to-rape-her-publicly-in-south-kivu/.
Inawezekanaje binadamu mwenye akili timamu kuwapa adhabu watu ya kuingiliana...
Zoezi linaloonekana kuvuruga serikali ya DRC, uongozi wa M23 unawataka wananchi wote wenye noti za zamani zilizochakaa na kuhalibika, kuwa wanaweza fika matawi ya Benki ya CODECO wakiwa na hizo...
Kwa kauli ya msemaji wa kisiasa wa M23, Lawrence Kanyuka,
Baada ya mashambulizi ya drones huko Kivu kusini katika makazi ya watu wa kundi la wanyamlenge, ambapo wengi wameuwawa na mali zao...
Baada ya hali ya utata katika makubaliano ya amani kati ya DRC na AFC/M23, inasemekana mbinu za kijeshi zinatumiwa kwa ufasaha, na mpaka sasa, M23 ipo eneo lijulikanalo kama Lubumba.
Za chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.