Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Mapenzi ndo darasa pekee binadamu huingia na roho nzuri, lakini anatoka katili. Kwa nini? Mwalimu ndo hafai? Tena wengine unafundishwa na uchawi kabisa.
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Tukiwa Single, hamtutaki. Tukishapata mtu, mnatutext hata usiku ili tushikwe tuwe tena ma single. Mna nini? Nda yale ya yule mnyama anaetambua umhimu wa mkia unapokuwa umekatika!!!
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Nani anabisha? Mme hukumu ya miaka 20. Mke anawaza aolewe,abaki amlelee mfungwa?! Mfungwa nae anawaza watoto wake wataenda wapi! Mwenake ataoa/kuolewa? Ataenda na watoto, je siku akitoka...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Mwanamke ndio kiumbe pekee ambaye kitu anachokitaka leo hakitaki kesho Kitu anachokipenda leo hakipendi kesho na mbaya zaidi anaweza kurudi kwenye vitu vile vile ambavyo alisema havipendi...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Bunge la serikali ya Rwanda, lipo katika hatua za mwisho kutia saini sheria inayomruhusu mtoto wa miaka 15 kupata huduma ya uzazi wa mpango bila wazazi wake kushilikishwa. Je, ikiwa bunge...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Mara nyingi utaonekana kama msumbufu au mkorofi pale unapoweka mipaka na kutoruhusu watu kukufanyia wanavyotaka
1 Reactions
6 Replies
161 Views
Mambo yote watu wanayohusisha ndoa na Mungu yanatoka wapi? Alieandika amri 10, kama hakusahau kuhusu ndoa, ni kwamba ni jambo lisilo na umhimu. Mungu aliacha zivurugike makusudikali.
1 Reactions
3 Replies
172 Views
Kila mtu siku zote hujiuliza lipi afanye, ili aweze kufikia walipo wale anaowachukulia kama mifano ya kuigwa(role models). Kila mtu hujiuliza siri ya mafanikio yao kupata walicho nacho, au...
1 Reactions
2 Replies
96 Views
Hivi, swali hili linalenga sana wanaume. Ukimkataa mtoto, na mwisho wa siku mahakama inaamuru kipimo cha DNA kifanyike, mtoto anakutwa wa kwako, akikuwa, utamueleza nini?
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Mwanaume, unakaa na mwanamke, unamzalisha, umri unamtupa nachakaa, unamuona wa nini, unamkimbia na kila kitu. Jamani, mtu kama humtaki, na umekaa ukafikilia ukaona hafai kuwa tena mkeo, kumbuka...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
Wapenzi wa Iphone, ina nini kinachozidi Android?
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Wanawake kumbukeni. Mnavyolingaga kama hawachuji. Kila kukicha siku zinapungua, ngozi inasinyaa, kasura kanakolipa, sijui labda nyie mna maelezo.
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Mabomba ya maji ndo haya sasa.
0 Reactions
1 Replies
94 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…