Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mimi ni kijana wa makamo ME umri 30+ , wanasema mficha maradhi kifo humuumbua . Nakuja mbele yenu na uhitaji wa ajira/kazi/kibarua . Maisha yamenichapa sana ndugu zangu Umaskini ni mbaya sana...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Kilio kifike kwa Serikali, kuna changamoto kubwa ya uhamisho wa sisi Watumishi katika sekta ya Ualimu, hasa tunaofanya mchakato wa kuhama ili kuwafuata wenza wetu, wapo pia wanaoomba uhamisho kwa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wazima huku ndani maisha ya mtaani ni kupambana sana ndio, kwa hapa nilipofikia naomba hata itokee nafasi ya kupata intern iwe taesa ama wapi Kwa taifa nishafanya kila kitu chao kuanzia training...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani
1 Reactions
14 Replies
694 Views
Job Summary: Job Posting Service Responsible for achievement of set sales turnover in a given territory and effective management of sales staff to realize maximum product availability at all...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Vacancy: Occupational Therapist Ref: 2025 – 27 Our story Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the preferred provider of accessible specialized health...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
SINORAY Job Opportunities – October 2025 Stock control – motorcycle & spare parts (3 posts) Location: Kibaha Organization: SINORAY Note: Priority will be given to candidates residing in or near...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
CRDB Bank PLC, a cornerstone of Tanzania’s financial sector and a leading bank in East Africa, is renowned for its innovative approach to banking and commitment to fostering talent. With a strong...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Mwanga Hakika Bank Limited (MHB) is a fully fledged commercial bank 100% owned by local Tanzanians. We have an exciting opportunity for enthusiastic and committed individuals to join our dynamic...
2 Reactions
1 Replies
433 Views
Reference Number ALAF/2025/02 Description The Customer Service Manager is responsible to driving Customer First value by ensuring that the processes and the teams deliver on the desired customer...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi. 🔑 Muundo wa...
1 Reactions
10 Replies
763 Views
Ok cheti umekisotea kinaonyesha umesomea taaluma flani kwa ngazi ya diploma, degree au masters. Tatizo ni kwamba hapa Tanzania hakuna ajira za kuwatosha nyote, kama kwenye moja haiwezi kukaa...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
naandika kwa moyo mzito na unyenyekevu mkubwa. Nilipata kazi ya mgodini, kazi ambayo niliona itakuwa mwangaza wa maisha yangu na fursa ya kusaidia familia yangu. Lakini kwa masikitiko makubwa...
12 Reactions
74 Replies
3K Views
Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?
2 Reactions
3 Replies
2K Views
1.Idara ya elimu ya msingi 2.Idara ya kilimo 3.Idara ya michezo 4.Idara ya mifugo na uvuvi 5.Idara ya usafi na mazingira 6.Idara ya utawala 7.Idara ya ujenzi 8.Idara ya Elimu secondary Huko watu...
7 Reactions
17 Replies
802 Views
Mfano umepeleka barua kwenye interview ukaitwa ukafanya alafu ukaambiwa utapigiwa simu... Unatakiwa kufanyaje ili kupotezea mimi naenda na simu Hadi chooni sasa Imekaaje hii
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwema? Hivi hawa utumishi written interview ya kada ya finance management officer ii mwajiri akiwa ni msajili wa hazina huwa wanatoa maswali gani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunapoamka kila asubuhi na kuingia kwenye mitandao kutafuta ajira mpya, huwa tunaingia na matumaini makubwa. Tunaamini labda leo ni siku ya mabadiliko, siku ya kuingia kwenye maisha bora. Lakini...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
🚀 Geosky Company Inaongeza Timu Yake! Tunakukaribisha kujiunga nasi kama Survey Technician mwenye ari, ubunifu, na ujuzi wa kitaalamu katika Geomatics. 📍 Nafasi: Survey Technician 📚 Kiwango cha...
0 Reactions
2 Replies
334 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…