Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mwanasiasa mkongwe na mchambuzi wa masuala ya siasa, Saidi Miraj, amesema kuwa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nyeti na ina mchango mkubwa katika kulinda utulivu na...
0 Reactions
3 Replies
196 Views
πŸ“’ TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE πŸ“’ Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono...
1 Reactions
1 Replies
265 Views
πŸ“’ TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE πŸ“’ Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono...
2 Reactions
2 Replies
258 Views
Hello wana JF . Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako. Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta...
14 Reactions
547 Replies
109K Views
🎯 TENDA YA MAWAKALA - HORIZON INSTITUTE 🎯 πŸ“Chuo Kipo Zanzibar πŸ“ πŸ’° FURSA YA KUPATA MAPATO KILA SIKU! πŸ’° --- πŸ“‹ JINSI YA KUFANYA KAZI: 1️⃣ JIUNGA KWENYE MFUMO WA WAKALA: πŸ‘‰Ingia hapa kujiunga...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Assalamualaikum Nafasi za kazi ya ulinzi na dereva dsm na dodoma Whatsapp nikupe vigezo na malipo 0614951696 natoa connection tu siitaji pesa
2 Reactions
8 Replies
403 Views
Habari ya muda wanajamii,niende Moja kwa Moja kwenye lengo tajwa hapo juu.mimi ninaujuzi kwenye kampuni zinazotoa mikopo midogo na ya kati(Small and medium sized loans).I offer my services in...
1 Reactions
1 Replies
364 Views
Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama. Naanza...
10 Reactions
54 Replies
3K Views
🚘 DEREVA WA KUAMINIKA ANAYEPATIKANA ARUSHA πŸš— Naitwa James, mwenye umri wa miaka 34. Nina leseni daraja A, B, D na E, na uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika kazi ya udereva wa magari binafsi na ya...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa zinazohitajika kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Mkutano wa...
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Admin JF please Jukwaa la sasa la ajira na tenda kwa kweli limejaa mambo ya ajira mengi sana kiasi kwamba kama unatafuta tenda uta scroll mpaka basi. Nashauri jukwaa la tenda liwe peke yake au...
0 Reactions
4 Replies
374 Views
Walimu wa kiswahili wanahitajika 184 walio omba ajira ni Zaidi ya 28000, usaili ukipita na kuwapata walimu wa kiswahili 184, walio faulu usaili na kuweka kwenye database watakua wengi na walio...
1 Reactions
1 Replies
960 Views
πŸ“’ TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE πŸ“’ Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
AJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo. Kwa wenye changamoto katika kuomba wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Tangazo la kuwepo kwa nafazi za kazi ya ulinzi, mahali ni Kusini Unguja Bwejuu Zanzibar, wanatakiwa vijana 25 wake kwa waume, raia wa Tanzaia , wenye namba za nida, waliopita mafunzo ya JKT au...
2 Reactions
18 Replies
852 Views
πŸ“’ TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE πŸ“’ Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
kuajiriwa sio utumwa bali ni njia ya kukufundisha Kua na chakoili uweze kumiliki, kumbuka unatamani pia Kua boss na bila wafanyakazi ni bure ivyo akuna ufalme bila wafuasi sema amen. kuajiriwa ni...
1 Reactions
4 Replies
223 Views
Wakuu habari ya wakati huu. Wakuu hili suala la manesi wa kiume kukataliwa kwenye hizi hospitali za private limekua sugu sasa. Mara kadhaa nina washikaji waliosoma hiyo kozi wanahaha sana kupata...
10 Reactions
126 Replies
3K Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za ajira katika kada tofauti likiwaalika Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi yao. Lengo ni kuongeza nguvu kazi na kuboresha...
0 Reactions
4 Replies
567 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…