Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA
Updates
Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma...
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA
Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook)
DOWNLOAD hapo๐
in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho...
๐ง๐๐ป๐ฎ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฒ๐ป๐ฒ๐ผ ๐๐ฎ๐ณ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐ผ:
๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ถ๐๐ต๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐๐ต๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฎ
๐จ๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ
Ofisi yetu: Ubungo, karibu na njiapanda ya kwenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mawasiliano:
๐ 0753786858
โ๏ธ...
๐ง๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ผ ๐น๐ฎ ๐๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐จ๐๐ฎ๐ณ๐ถ
Kampuni ya ๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐ฟ๐ผ๐๐ฝ ๐๐ผ๐น๐ฑ๐ถ๐ป๐ด๐ ๐๐ถ๐บ๐ถ๐๐ฒ๐ฑ inawakaribisha wateja kwa huduma bora za usafi kupitia ๐๐ฆ๐ข๐๐๐๐ฅ๐ ๐๐ฅ๐๐๐ง๐ข๐ง๐ ๐๐๐ซ๐ฏ๐ข๐๐๐ฌ.
Tunafanya usafi kwa ufanisi katika:
Ofisi...
Habari zenu nina rafiki yangu ambaye kwa sasa anahitaji kazi kwa namna yeyote
Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha, ugavi na uhasibu yupo vizuri Sana (si mtaalmu sana eneo...
Habari ndugu watumishi wa sasa na wale watarajiwa
Serikali huwa inatenga kiasi cha pesa kwa ajili ya kuwakopesha watumishi wake. Mikopo hii haina riba kabisa (ukiacha gharama kidogo sana za...
Wakuu Niaje wanangu! lakini mi leo nakuja hapa kama mwananchi wa kawaida kabisa, yani mzembe tu ๐.
Nimechoka kukaa home kama baba wa nyumbani bila watoto. Nisaidieni jamani kabla sijaanza kuuza...
habari wakuu poleni na mjukumu.
Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato.
Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani...
Habari wakuu
Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie.
Sifa zangu
Jinsia: Me
Umri: 28
Eneo: Dar es salaam
Elimu: Bachelorโs Degree in Procurement and Logistics...
Wakuu, nimejikuta kuwa na passion ya kufundisha kuliko kitu chochote kile yaani.
Ipo hivi, nimesomea IT bachelor pale UDSM nimehitimu mwaka jana. ilivyofika mwezi wa pili mwaka huu, katika...
Habar yenu wapendwa tunahitaji
Matron (1) na Patron(1). Watafanya kazi kwenye shule ya hostel, shule ni ya serekali.
Shule ipo kilimanjaro wilaya ya moshi marangu-kilema, Opposite na maua...
ATTENTION. ATTENTION ATTENTION ATTENTION
Tunahitaji walimu wa home tuition services. Maeneo malombali
1.Mwalimu wa historia na Geography(awe mmoja)
Mwalimu wa grade1(awe.mmoja)
Mqalimu wa...
Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 27, Ninapenda kuwasilisha nia yangu ya kujiunga na taasisi yako kama mwalimu au fasiliteta wa masomo ya ICT. Nina Shahada ya Business Information...
"Habari za kila mtu, naomba msaada wenu. Nimeona mwezi wa 5 kuna watu walifanya usaili wa nafasi ya Afisa Usimamizi wa Fedha Daraja la II kwenye Ofisi ya Bunge. Je, mtu anaweza kunipa ufafanuzi...
Habari ndugu wanajukwaa,
Tumeona orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa kwanza wa Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) imetoka rasmi. Wengi wa ndugu zetu na marafiki wamebahatika...
Habari.
Kwa kinachoendelea hakiitaji maelezo mengi sekretarieti ya ajira (PSRS) wamekuwa dhaifu na wamelewa.
Mpaka leo kilio cha wasaka ajira kupitia utumishi ni kile kile.
1.Kuchelewa kuita...