Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habarini wapendwa poleni na majukum naombeni msaada wa conection ya kazi kwenye makaa ya mawe songea au mbeya. Mimi ni operator wa excavator mzoefu, nimependekeza kwenye makaa ya mawe kwa...
2 Reactions
1 Replies
219 Views
Habari za wakati huu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Finance and Investment Planning. Naomba kwa heshima kama kuna fursa yoyote ya kazi hususan kwenye stationery, maduka ya jumla, warehouse, au...
3 Reactions
9 Replies
373 Views
Position: Individual consultant for research and report writing on hate speech, OGBV and mis-/disinformation (Full-Time) Location: Dar es Salaam, Tanzania Duration: 10th February 2026 – 30th...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous (2a9d)
Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo. Maswali ya kujiuliza ni: Je...
2 Reactions
3 Replies
304 Views
Mwenye kazi yeyote tupeane connection wakuu
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Anonymous
Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums...
1 Reactions
13 Replies
777 Views
Kwa wenye uhitaji wa kazi ya construction helper Abudhabi na una Agent fee ya $1000. Kazi zipo za kutosha sana,Baada ya kufanyiwa medical checkup,work visa inatoka baada ya wiki moja na ndio...
5 Reactions
64 Replies
1K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu, wanatakiwa vijana wawili waliosoma Hotel Management Au House Keeping na wenye vyeti vya fani hizo kutoka chuo chochote hapa nchini Tuma maombi yako ukiambatanisha CV na Copy ya vyeti vyako...
2 Reactions
1 Replies
158 Views
Habarini wanajukwa? Naomba kujuzwa hivi kama ikitokea mtu ameajiriwa na serikali tarehe 23 mwezi wa nne je anaweza kulipwa mshahara wa mwezi wa nne au inabid aanze kulipwa mwezi wa 5?
2 Reactions
9 Replies
466 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha malalamiko yangu: Ni kwanini hawa PSRS wanapeleka oral interviews Dodoma ilihali written zinafanyka mikoani jambo hili linawagusa graduates wengi wa kada tofauti na ualimu na...
2 Reactions
3 Replies
324 Views
Husika na kichwa Cha Uzi hapo juu, napenda kuomba na kukaribisha watu wenye uzoefu na interview za NAOT Kada ya Telecommunications Engineer (ukaguzi wa ki ufanisi-telecom engineer), wanipe mbili...
0 Reactions
2 Replies
309 Views
Job Announcement: Driver (Contract Position) Location Dar es Salaam Salary TZS 300,000 Employment type Contract Job summary The Driver will be responsible for safely transporting staff...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
4 Replies
278 Views
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Empowering Africa’s tomorrow, together…one story at a time. With over 100 years of rich history and strongly positioned as a local bank with regional and international expertise, a career with our...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Job Vacancy: GIS and Database Specialist – Ngara Position Summary Tembo Nickel is seeking to recruit a GIS and Database Specialist to join the Tembo Nickel Project Team. This role will support RAP...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Vacancies HR Lead-Ngara Position Summary Tembo Nickel is seeking to recruit a HR Lead to join the Tembo Nickel Project Team. This role will be accountable in delivering best practice in managing...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Job Vacancy: Timekeeper – Construction Site Location: Zanzibar Employment Type: Fixed Term Contract About the Role We are seeking a detail-oriented and reliable Timekeeper to join our...
1 Reactions
0 Replies
282 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…