Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kulingana na tangazo la ajira za ualimu la tarehe 18 Oktoba 2025 _____________________________ Walioitwa kwenye usaili VERSUS wanaohitajika kujaza nafasi husika ***********************...
3 Reactions
19 Replies
402 Views
Anonymous
Kwanini baadhi ya watumishi wa umma wanaajiriwa hela ya kujikimu wanapewa siku 7. Standing order inasema siku 14? Huu ni wizi na kutokutenda haki.
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Habari naitwa Aisha nipo Dar es salaam nahitaji kazi Elimu ni diploma Nasoma Bandari College naendelea bado sijamaliza.. Nina uzoefu wa kazi za hoteli, Sheli, duka, na receptioniat ukweli...
3 Reactions
3 Replies
199 Views
Habari wakuu, Naomba kusaidiwa kujua maswali muhimu yanayoulizwa kwenye nafasi tajwa hapo juu. Kesho ndio siku ya usahili pale chuo cha Mwl Nyerere. Naamini hapa JF hakuna linaloshindikana. Hata...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Anonymous
Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Habari za Furahi Day!! Baada ya serikali kutoa kibali cha ajira za walimu takribani 11,015, kupitia ajira portal dirisha la maombi lilifunguliwa na maombi yakafanywa. Baada ya maombi kupitia...
2 Reactions
52 Replies
15K Views
Anonymous (b69f)
Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Anonymous
Kufanya kazi kwenye kampuni za kimataifa hapa Tanzania ni ngumu sana kwa sasa kwa sababu ya mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) unaosimamiwa na Wizara ya Kazi umekuwa haufanyi kazi kwa wiki kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Anonymous (ba44)
Habari, Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini. Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya...
2 Reactions
15 Replies
421 Views
Anahitajika kijana wa Car wash haraka, Mwenye uzoefu na mwaninifu.
1 Reactions
7 Replies
229 Views
Habarini za wakati huu? Kutokana na wadau wa jukwaa hili uwa bize na upendo wa baadhi ya kazi zinazotafsiriwa kama zenye kipato uzuri na kwa kiwango iubwa wadau na watafutaji wamekuwa hawaipi...
9 Reactions
251 Replies
34K Views
Waziri wa Nchi, OR Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema, "Kumekuwa na maombi mengi sana ya baadhi yetu kuomba kubadilisha vituo vya kazi. Nitoe rai...
6 Reactions
108 Replies
3K Views
Anonymous
Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025...
0 Reactions
4 Replies
319 Views
Anonymous
Maofisa wa Ofisi ya Utumishi hawatoi ushirikiano mzuri kwa Watumishi wa Umma, namba zao za Customer Service hazipokelewi na zikipokelewa unapewa majibu ambayo yapo too general bila ufafanuzi wa...
0 Reactions
2 Replies
225 Views
Wakuu salam, Nina umri wa miaka 27, na uzoefu wa kusafirisha abiria. Nina leseni ya daraja C1 na barua ya uwakiki ipo. Sasa wakuu, niko bench, maisha yameanza kuninyoosha na harakati sizipati…...
3 Reactions
8 Replies
350 Views
Anonymous
Habari wadau, Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council. Watu wanalalamika hawalipwi
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Je, kuna uwezekano wa kumpatia kazi, kama inahusiana na alichosomea au hata kama haihusiani, kazi yake saivi ni saidia fundi kinachofanya anaonekana kabisa akili yake haijatulia sana kwa sasa...
8 Reactions
40 Replies
619 Views
Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa...
4 Reactions
20 Replies
682 Views
Anonymous
Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025). Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…