Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Aliefanikiwa kuapply hizi nafas za kazi za ajira nmb naomba anisaidie kila nikijaribu website yao inaload tu.
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu, habari za muda huu na poleni kwa shughuli mbalimbali za maisha. Nina maswali mawili kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Contact Centre Agent . 1. Maswali common yanayoulizwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022.
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Wakuu naomba kueleweshwa, nimekutana na baadhi ya matangazo ya kazi ambayo Yana kigezo kimojawapo cha muombaji kuwa ni mwajiriwa na aambatanishe barua yenye muhuri kutoka ofisi aliyoajiriwa. Sasa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Siku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa. Meneja...
27 Reactions
67 Replies
3K Views
Hellow guys nimatumain yangu wote wazima na pia tunamshukur mola kutupa mwaka mpya Jamani mimi natafta kazi ya kufanya iwe n kiwandani iwe n kushusha mizigo au kazi ata ya ufundi. Nipo tayari...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndio hivyo tena hii ni 2025 .... Napikiwa na naandaliwa na maji ya kuoga, kila mwaka napiga hatua moja mbele japo ndio hivyo kibishi sana alhamdulilah. Nyie endeleeni kutusagia kunguni...
7 Reactions
10 Replies
737 Views
Mliowahi kufanya saili uko private sectors tunawaomba MJE mtupe miongozo wakubwa wangu
4 Reactions
8 Replies
9K Views
niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari za muda huu Ndugu zangu naitaji msada wenu wa gar la kufanyia Kazi bolt Uber Nina uzoefu wa mwaka Moja Kwa sasa Niko tayari hata kuendesha gari binasfii Niko tayari naomba ushirikiano wenu...
1 Reactions
0 Replies
344 Views
Join GreenLife Microfinance Ltd as a Loan Officer/Relationship Officer at our Dar es Salaam Branch (Summit Building, 3rd Floor, Mnazi Mmoja - Kariakoo). 💼 What You’ll Do: ✔️ Identify and assist...
3 Reactions
0 Replies
542 Views
Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea. Natembea kilometa 10...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya, kwa majina Naitwa Christian naishi Dar es Salaam, Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Ndugu wa JF, Nina uhitaji wa kazi nina ujuzi wa IT, namba 0744968695
1 Reactions
3 Replies
472 Views
VACANCY: DIRECT SALES AGENTS SimbaNET (T) Ltd is part of, “The Wananchi Group” and one of East Africa’s leading Internet, Data & Communication Solutions Provider. We are looking for several...
0 Reactions
4 Replies
679 Views
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu...
28 Reactions
156 Replies
10K Views
Nahitaji mwalimu wa Economics kwa ajili ya kumfundisha kijana wangu. Umbali siyo tatizo, anaweza akamfundisha hata online kupitia whatsapp n.k Mwenye sifa awasiliane nami whatsapp kwa namba...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nina Ordinary Diploma ya Information Technology nina Ujuzi sehem zifuatazo :- 1. Graphics Designing and Printing 2. Data Entry 3. Class D license ya Magari (Manual na Automatic transmission) 4...
3 Reactions
7 Replies
651 Views
Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani . Yupo Dar DSM Kuhusu yeye Ana age 18 Darasa la saba Anatoka Mtwara vijijini Dini yake Muslim. Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa...
3 Reactions
7 Replies
544 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…