Wadau, Ivi fani ya ku operate mitambo mikubwa kama bulldozer, grader, forklift, na mingine HEAVY EQUIPMENT inalipa vizuri?
Chuo chao kipo wapi, mwenye kujua utamu wa fani hii anisaidie tafadhali...
habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda .
aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni...
Naomba msaada wenu nijiandae na maswali gani,nimeitwa kwa mara ya kwanza na UTUMISHI,ni post ya MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (MECHANICAL ENGINEER) TEMESA
Msaada wenu nipitie wapi
job...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/L/144 17 Juni, 2021
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira...
Habari wakuu?
Ndugu zangu mimi naishi Misugusugu Kibaha, hivi karibuni nimeanza kuona dalili za ukame kwenye kampuni ninayofanya kazi, jana nikaona niombe ruhusa kazini ili niingie zangu mtaani...
St. Augustine University of Tanzania
The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of...
Wakuu nimesomea political science and public administration specialized in international relations and diplomacy. Natafuta nafasi za internship; nafikilia JNICC. Je utaratibu wa kuomba internship...
Background
The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, voluntary and self-regulatory body with the objective of promoting freedom of the media and ensuring the highest professional...
Sheria ya kazi inampa haki mfanyakazi kwenda likizo ya siku 28 kila baada ya miezi 12 ya kazi. Na endapo mfanyakazi ataachishwa kazi akiwa na likizo ambayo hakwenda kwa sababa maombi ya likizo...
Habari ndugu zangu?
Natumaini mko salama na wazima wa afya.
Samahani naomba kuuliza jambo ninechaguliwa katika online written interview za utumishi lakini kituo nilichopangiwa ni mkoa mwingine...
Habari zenu Wana jamiiforum,nilikua ninashida kama kunafundi anaweza akanishika mkoni kama saidia fundi au kama Kuna mtu anaweza akanielekeza sehemu ya kupata vibarua hivyo kwa mkoa wa dar es...
Kwa majina naitwa kelvin ramson joseph kama kuna mtu ana connection ya kazi naomba anisaidie nipo dar es salaam nina degree ya bachelor of adult education with community education kama kuna...
Habari Wana JF naomba kuuliza .
Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu...
IT’S NOT JUST AN OPPORTUNITY TO GET ON THE CAREER LADDER.
IT’S AN OPPORTUNITY TO HELP THE WORLD GET ON TOGETHER
Why do people call us the world’s most international company? Is it because we...
Baadhi ya kazi ndogo ndogo zinazoweza kupa connection kubwa ukatoka kimaisha kirahisi
Hizi kazi zaweza onekana ndogo na mshahara mdogo lakini ukiwa mwaminifu sana na kufanya zaidi ya kazi...
Habari zenu Wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada husika
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam, Mwalimu Nyerere Main Campus.Ninaomba msaada wa kupata eneo la kufanyia mafunzo kwa...