Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Msaada wakuu, mwenye uelewa wa maswali ya Interview ya Tutorial Assistant in Accounting Written na Oral huwa wanauliza nini naomba kujuzwa. Natanguliza Shukran 🙏
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Nafanya kazi hizi -Kufundisha somo la uchumi na commerce katika O-levels na advance levels. -Kufundisha uchumi katika undergraduate level certificate, diploma na bachelor degree. -Kutoa notes na...
1 Reactions
0 Replies
329 Views
Habari za leo ndug zangu hope mko poa, Nina habar njema natafuta Wakalimani(Translators) wanaojua lugha ya kichina vijana kama sita ivi kazi yao kutafsir watakuwa na hao wachina ambao hawajui...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Join us, on Thursday 12th of June 10:00 AM (EAT) this Thursday, 12th of June.for an exclusive webinar featuring a special guest, Mike. Mike has successfully navigated the journey from student life...
0 Reactions
1 Replies
426 Views
Kisa cha kweli Mwajili Tapel kuweni Makini sana. Katika Ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa adimu kuna matapeli wengi wanaoliza watu tuwe makini, Hiki ni Kisa cha kweli kabisa kanisimulia...
2 Reactions
14 Replies
870 Views
Natafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance Nahitaji kubadilishana na wa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Natafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance Nahitaji kubadilishana na wa...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Wamesema vigezo ni mtu yeyote aliyesoma shahada ya Biashara lkn kwa sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia. Tunatatuaje hii changamoto wakuu?
0 Reactions
5 Replies
710 Views
Join the Future of Education: Exciting Teaching Opportunities with MDAs & LGAs in Tanzania Are you passionate about shaping young minds and contributing to Tanzania’s educational landscape? The...
1 Reactions
1 Replies
809 Views
Habarini wakuu, naitwa frank kijana nimemaliza kidato cha sita mwaka huu apa, ndo tunasubiri maswala mbalmbal twende chuo ila sipo vizuri kifedha. Mwenye Kuna fursa ya kazi aniunganishie wakuu...
4 Reactions
18 Replies
794 Views
💡Unahitaji pesa ya ziada kila mwezi? Unatafuta njia halali ya kujiongezea kipato bila kuuza bidhaa yoyote? Basi jaribu hii cpa marketing Leo nakuletea mfumo wa kipekee wa masoko unaotumika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu, Nipo mbele yenu kutoa ushuhuda wa jinsi jukwaa hili lilivyoleta mwanga kwenye maisha yangu. Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa hapa nilipo naamini...
33 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku...
1 Reactions
15 Replies
937 Views
DEADLINE FOR APPLICATIONS 19 June 2025-23:59-GMT+03:00 East Africa Time (Dar es Salaam) WFP celebrates and embraces diversity. It is committed to the principle of equal employment opportunity...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Employment opportunities at the St. Augustine University of Tanzania (June 2025) The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Job Vacancies at Unitrans Tanzania Limited – June 2025 Unitrans Tanzania Limited Unitrans Tanzania Limited invites applications from qualified and skilled candidates to fill the following...
1 Reactions
1 Replies
708 Views
Assistant accountant position at Mwananchi Communications Limited About Mwananchi Communications Limited (MCL): Mwananchi Communications Limited (MCL), a subsidiary of Nation Media Group (NMG), is...
1 Reactions
1 Replies
364 Views
Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt. Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti. Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Yaani kuna Uzi nimepitia humu Jobless wapo tayari kutoa 20% ya mshahara wake kwa miaka 2 ili tu apate kazi, daah jamani mtatua jobless tupeni kazi jamani daah Utumishi mtaua vijana mtaaani. Mitaji...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa majina Naitwa Deo Nicomedi Ninaomba kwa mwenye connection katika ofisi za wakala wa vipimo (weight and measure Agency) au makampuni binafsi ya vipimo na viwango anisaidie wakuu nipate nafasi...
1 Reactions
3 Replies
457 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…