Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kindly assist with a wide circulation of UNFPA's two adverts, namely: 1. Program Finance Analyst (NOA) Fixed-term (based in Dar-Es-salaam) with a deadline for submitting the application being 1st...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Advans bank ilitangaza nafasi za Junior Community Development officer. Leo nimepigiwa kuitwa kwa usahili kesho kwa bahati mbaya nipo unguja shamba mtandao wa tigo unasumbua na sijaelewa eneo ila...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
IMETANGAZA NAFASI YA "SHE Manager" mwisho tarehe 30 june,2015, kwa maelezo zaidi nipigie 0757856336 AU 0786100772
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa, Kumekuwa na mashirika mengi ya kienyeji na ya kimataifa yanayotangaza kazi hapa Tanzania na kwingineko. Nimesoma jumbe za watu mbalimbali kuhusu Horn of Africa Relief Aid na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyanza bottling zile nafasi za sales na bot zile za note counter!vipi wameita?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamii! Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu kutoka chuo kimoja hapa nchini . Nilimaliza chuo mwaka jana 2014 na nikabahatika kupangiwa ajira mpya za ualimu juni mwaka huu ...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Naomba mwenye ufahamu atoe ufafanuzi wa waraka huo wa serikali unasemaje watu walioko kwenye ajira ya serikali kutokuomba kazi nyingine ya serikali ikitangazwa.CAC.45/257/01/D/140 dated 30/11/2010
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wajamen wana JF Nimetumia kila mbinu kupata kazi sijafanikiwa. Nakumbuka nilikua nikitoa copies za vyeti na CV nyingi sana kama zaidi ya 200, nikaanza kua nazitembeza na kibegi changu cha kisomi...
28 Reactions
225 Replies
29K Views
Habarini za humu wandugu, Naomba kuuliza waliofanya oral interview utumishi nafazi mbalimbali za tan trade mbona kimya? kada nyingine zote walipangiwa vituo hata wale waliofanya baadae. Wenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wale walioko kwenye ajira na wangependa kubadili eneo la ajira na mwajiri angalieni hapa TCU - Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania wametangaza ajira. Au wale waliomaliza vyuo ila wako mtaani hawajapata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natafuta mfanyakazi wa Saloon ya Kike,eneo la Kazi lipo MBEZI YA KIMARA,awe anajua shughuli zote za saloon ya Kike,itakuwa vema akiwa anaishi eneo jirani na eneo la kazi,tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tangazo la ajira Zimamoto kwa nafasi 200 za Sajini na 803 za Konstebo Info Post Subi Nukta 6/19/2015 01:37:00 PM...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
zikiwa zimebaki siku 2 kufika deadline ya TRA bado sijafanikiwa kuapply............................Sehemu ya Qualifications kipengele cha qualification/award hakuna course niliyosoma Procurement...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari humu ndani, na heri ya mfungo wa Ramadhan. Kwa anayefahamu, ninaulizia kama Halmashauri ya wilaya ya Monduli wameshaita watu kwa ajili ya usaili wa nafasi za kazi walizotangaza za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mwongozo jamani... Kazi ya daktari wa mifugo/veterinarian zinalipa sana maeneo gani hapa Tanzania?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau ningependa kujua kwa anaefahamu kama zile kazi za wahasibu tanroads lindi zilizotangazwa mwezi wa 5 kama tayari wameshaita kwa ajili ya usaili au bado
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeombwa niweke tangazo hili hapa jukwaani. Binti wa miaka 21,anatafuta kazi ya Waitress au house keper,amemaliza kidato cha nne na ana cheti cha Hotel Management,ana uzoefu wa kazi wa miezi...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Utumishi wa ajira wametoa majina ya wanaotakiwa kwenye usaili tarehe 19 adi 20 mwezi wa tano. for Tangazo la kuitwa kwenye Usaili-18-22 Mei, 2015 Property Value Name: Tangazo la kuitwa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa taasisi yoyote inayohitaji mwalimu toka Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa masomo ya Literature na Geography tuwasiliane kupitia namba 0712478347. Nipo tayari kuanza kazi baada ya kufungua...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Salam sana wakuu. Kuna NGO inayoitwa jina hilo hapo juu, Walitangaza kazi zenye mishahara mizuri sana kuanzia Dola 4700+ kupitia website yao na pia tangazo liliwekwa zoom Tanzania. (Careers...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom