Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

JOBS AT Tanzania Revenue Authority - June 2015 TRA would like to recruit dynamic experienced and qualified personnel to fill vacant positions in the Research & Policy, Human Resources &...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama mwajiri asipopeleka makato ya wafanyakazi wake ya kila mwezi NSSF , kwa mfano mwisho wa kupeleka ni tar. 30/6/2015 akapeleka tarehe 5/7/2015 penalt inakuwaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
samahani waheshimiwa tcc ( tanzania cigarrete co ltd) walitoa nafasi ya mechanical engineer na deadline ilikuwa tar 30 april 2015 , hivi walishaita interview au bado????
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau samahani naomba mnijuze kwa wenye ufahamu? Katika Mkoa wa Rukwa kuna machimbo madogo ya dhahabu na nasikia biashara ya dhahabu inalipa huko? Je mtaji inaweza ikawa kiasi gani na soko lake...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha sauti?Je sauti yako inaweza kutumika kurekodi matangazo ya redio?Kama jibu ni ndio,basi jiandikishe nasi leo ili ushiriki usaili wa sauti kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
751 Views
Wadau hivi halmashaur ya wilaya ya misungwi wameshaita watu kwenye usaili?
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Bofya link hapo chini. Vacancies - Glocomms
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari zenu wapendwa mimi ni kijana mchapakazi na ni mtaalamu wa kutengeneza garden na kuzihudumia kwa yeyote anaetaka huduma hio, tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
876 Views
mm ni mtumishi wa umma nilihamishiwa kituo kipya lkn mazingira hayo hayakuwa salama kwangu nikatoa taarifa kwa DED lkn akapuuza nikatoa taarifa TAMISEMI wakam order DED kunbadilishia kituo lkn...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello, hivi wale walioitwa kazini as State Attorneys in March, 2015, walishapangiwa vituo au bado? In any case, kazi za serikali zinachukua muda mrefu unreasonably.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 28 sasa nilimaliza elim ya chuo (advanced diploma of accountance)2012 nimetafuta kaz kwa mda mrefu bila mafanikio..please mwenye msaada wowote naomba ani Pm...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini humu ndani, Ningependa kufahamu kisheria mfanyakazi wa private sector anastahili kulipwa mshahara wa kima cha chini shilingi ngapi? Na je mfanyakazi anaweza kufanya kazi miaka mitatu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Geography, history,chemistry,biology Apply now at director@greenbirdinstitutions.org Attach cv n certificates Interview call +255 764 248 152 and arrange with the administration Deadline 30/6/15
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuu. Samahani naomba kujua utaratibu wa kupata nafasi ili kuwapandisha watalii au kubeba mizigo ya watalii mlima Kilimanjaro iko vipi na fursa naweza kuipataje hususani kwenye kipindi...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Business Analyst – Financial Planning &Analytics Job ID #: 3651 Department: Finance Country: Tanzania Experience Required: 5 - 7 Years Location: Dar Es Salaam Education Required: Bachelors...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari! Nakumbuka zilitangazwa kazi kati ya mwezi machi na wa nne mwaka huu! yeyote aliye na taarifa za interview naomba atujuze..
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nipo kwenye kampuni fulani ya Wahindi, kuna wakaguzi wa masuala ya viwango ISO wapo hapa kwa wiki sasa hawa jamaa ni Wakenya na wapo peke yao akuna Mtanzania hata mmoja. Na katika kuuliza kwangu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
BrigherMonday.co.tz ni tovuti kubwa zaidi ya ajira nchini Tanzania, ambayo ina watafuta ajira walio bora zaidi kuliko chanzo chochote kile. Katika nia yetu thabiti ya kutimiza azma yetu...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Public Relations Manager Job purpose The Public Relations Manager provides a range of core functions within the communications team. She/he is a behaviour change specialist with direct...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom