Habari za leo wakuu
Kama kichwa cha habari hapo uu kinavyoeleza, inamuhitaji huyu mzee kufanya majukumu yafuatayo:
1. Awe muwakilishi wangu shambani na awe kama ndie mwenye nyumba na mmiliki wa...
Habari zenu?
Hawa Asa microfinance mwezi uliopita walitangaza nafasi za kazi mbalimbali, mimi nilikua ni miongoni mwa wengi tulioapply.
Sasa wamenipigia na kunitumia ujumbe kuwa siku ya jumatatu...
Ndgu wapendwa
Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI July, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment...
Tunahitaji walimu wa Physics, Chemistry, Biology, History, Kiswahili, Language,Adv Mathematics, Commerce, Accountancy kwa A level na O-level amabao wapo mkoa wa mwanza kwa kazi ya kufundisha part...
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....
Acha swali...
Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) ambapo nitakuwa naweka maudhui ya picha na video mtandaoni, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Gharama yake ni 150,000...
Kuna changamoto nyingi sehemu za kazi huwa zinakosa suluhisho, kwa mfano watumishi wengine wa afya hasa mkoa wa Katavi hatulipwi pesa za Extra time na call allowance.
Pia hatulipwi pesa za likizo...
At Vodafone, we’re not just shaping the future of connectivity for our customers – we’re shaping the future for everyone who joins our team. When you work with us, you’re part of a global mission...
At Vodafone, we’re not just shaping the future of connectivity for our customers – we’re shaping the future for everyone who joins our team. When you work with us, you’re part of a global mission...
Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba
Mwenye kukidhi vigezo aje pm
Nimepata fursa ya kufanya interview kwenye kampuni ya utalii kutoka Egypt
Kupitia zoom meeting
Sasa jamaa wamenitumia email kuwa saa kumi na moja kamili niwe onair
Nizingatie mambo Gani...
Habari za wakati huu wanajami mwaka jana mwezi wa 11 niliemda utumishi kwa ajili ya usahili lakini kutokana na changamoto ya majina katika vyeti vyangu nikalazimika kutafuta affidavit ili iwe...
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Job Type: Full-Time
Experience Level: Senior
Application Deadline: 8th August, 2025
About Us
At HALA Consultants, we are a dynamic, client-focused audit and...
Habari ya jioni wakuu. Natoa tangazo hili kwa niaba ya kampuni inayomilikiwa na wageni wa kutoka China, inayojihusisha na huduma za utengenezaji magari iliyo na ofisi zake Mikocheni, industrial...