Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wadau kwa wote wanaosubiri kwena JWTZ kwa kupitia professional zao nasikia kwambwa mwaka huu hakuna usahili je ni kweli au uvumi tu?
3 Reactions
69 Replies
24K Views
Mwanangu sasa amemaliza shahada ya kwanza ya sharia katika Chuo cha SAUT Mwanza. Kwa yeyote mwenye kuhitaji mwanasheria anipiige moja kwa moja namba 0764 601903. Yuko tayari kufanya kazi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Msaada wakuweza kupata kazi kanda ya ziwa elimu community development (degree) no ya cm 0715149184.
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Hivi inachukua muda gani hadi matokeo ya usaili yatoke Tangu nimefanya interview wiki ya 3 sasa sijasikia aliyeitwa .wadau benki za kibongo huwa zinakuwa hivyo au ? Nb: mwenye uzoefu anaweza ni...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nafasi za Kazi Umoja wa Mataifa, Application Deadline 22 December 2015 Bonyeza HAPA Kusoma na Kuapply AU tembelea www.ajirayako.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua ni blogs zipi au website zipi ambazo zina deal sana na kupost matangazo ya kazi. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau mimi ni muhitimu wa chuo cha uhasibu dar es salam nimemaliza shahada ya Business Administration nilikua naomba msaada wenu niwezepata mahala nijitolee ili niwezepata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Redirect
Wewe ni mjasiriamali na unapenda maendeleo? Basi nakukaribisha katika mkutano huu ili uweze kuzifahamu mbinu na fursa sahihi za kukitimizia ndoto zako. Badili fikra, timiza ndoto yako...
0 Reactions
Replies
Views
Jamaa eti kanitumia hii sms akidhani natapelika kirahisi; Hello, am Mr. Ibrahim from St. NEILSON HIGH SCHOOL Dar, tupo kikaoni tunapitia cv za kuinterview for SECONDARY SCHOOL TEACHER post...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini jamani kwanza kabisa naomba msinizodoe mimi ni msichana nina miaka 27 natafuta kazi Mwanza nimesoma business administration nime specialize kwenye procurement and supplies nina diploma...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahani sana ndugu zangu nataka kufungua kampuni ya Fumigation now nipo katika masuala ya usajili, nataka kujua ni mikoa ipi nitapata zaidi soko na changamoto zake.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama unatumia simu cheki HAPA , kwa computer HAPA
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Swali. Je hao Afisa elimu wanapatikanaje na uteuz au nafasi hutangazwa ln?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Apply at director@greenbirdinstitutions.org attach your CV
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Are you a good English teacher!? Do u have experience on English language teaching!? Apply now at director@greenbirdinstitutions.org attach your CV deadline 30/12/15 interview ll be on 7th jan 2017
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Jamani kwa msaada anayejua nafasi za JKT zinatoka lini anisaidie nijue lini zinatoka nataka niingie ndani ya hicho chombo.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
HIKI NI KIPIMO KIBOVU SANA CHA KUPIMA MAFANIKIO YAKO Kuna watu walikaa chini wakaamua kwamba kuwe na mtihani mmoja na wanafunzi wote waufanye, atakayepata maksi nyingi ndio amefaulu, atakayepata...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom