Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nipo h/w ya pangani nahitaji kwenda mkoa wa ruvuma h/w ya songea municipal au songea dc
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Asikuambie mtu swala la kupata kazi haijalishi umesoma chuo gani wala kozi gani ni MUNGU apangaye, nyota yako pia inahusika na juhudi binafsi. NIMEONA UDOM GRADUATE wameajiriwa maeneo mengi gvt...
1 Reactions
94 Replies
11K Views
Habari wanajamvi. Ndugu zangu, naombeni mnisaidie kupata kazi kwa fani ya ugavi. Nina Shahada ya ugavi ambayo nimehitimu mwaka huu. Nilsoma pia Bsc. Ed. Chuo kikuu Dsm(2005- 2008) japo...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Wadau wa hapa naomba kufahamishwa kuhusu mfuko wa kijamii licha ya NSSF wenye kukata kwenye gloss salary
0 Reactions
0 Replies
993 Views
For anyone who want to be V-pesa agency and make more money every single day, Please call now on 0718371221 / 0764705712 Paul Alex) au 0684666945 Edwin chapa) or email paulchapa0744@yahoo.com for...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
[emoji27] [emoji21] [emoji14] [emoji29] [emoji20] [emoji18] [emoji27]
0 Reactions
0 Replies
3K Views
AL MUNTAZIR SCHOOLS EMPLOYMENT OPPORTUNITY The Al Muntazir Schools are managed under the auspices of KSIJ Central Board of Education, a Non-Profit Organization, providing quality education...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Berachah Valley schools iliyopo Chalinze Tanzania, inatangaza nafasi za kazi kwa ngazi ya nursery na primary. Muombaji awe na uzoefu kazini. Awe mbunifu na pia awe na juhudi kazini. Mazingira...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dear Applicant for the position of Community Mobilization and Sensitization Officer, Under Africa Ebola Prevention and Control Campaign (AePCC) Please refer the job advertisement on the position...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
kwa mtu yoyote mwenye ilo gazeti naomba aniangalizie majina ya walio itwa kwenye usaili halimashauli ya mji wa bariadi bashite peter lazaro Frank bahati
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninatafuta kazi katika stationary, duka, m-pesa / tigo pesa, duka LA nguo, cosmetic na nk, nimesomea secretarial and computer, nina level two, nahitaji msaada wenu wakunisaidia kupata kazi sehemu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni KE,umri wangu ni miaka 21,ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu ila sijajiunga na chuo kwa sababu za kukosa mkopo. Natafuta ajira yoyote ile itakayoniongezea kipato. Nina uwezo mzuri...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwa wale wote wanaotaka kujipatia line za Helotel pesa (V-pesa) na kujiongezea kipato zaidi, tafadhali piga simu namba 0718371221 / 0764705712 Paul Alex) au 0684666945 Edwin chapa) au email...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kazi ya kuuza duka la nguo au stationary kwa mkoa wa dar es salaam, 0753339888 0785189411
0 Reactions
1 Replies
2K Views
About the company Bridge for Change is a youth-led NGO based in Dar es Salaam, Tanzania. The organisation is currently looking for qualified and self-motivated individuals to fill the position of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama kichwa cha habar kinavyo jieleza hapo juu.natafuta mfamasia wakuniachia cheti tuu duka langu likO tabata segerea kwa mawasiliano zaidi 0713039838
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HESLB walitangaza ajira mwezi September, je, kuna mwenye ufahamu juu ya hizo nafasi? Kama wameita watu kwa ajili ya usahili naomba kujuzwa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Berachah Valley Schools zilizopo Chalinze zinatangaza nafasi za kazi katika ngazi ya nursey na primary. Moumbaji awe amefikia ngazi ya diploma na kuendelea. Awe na uzoefu kazini, mbunifu na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama uko Mbeya na ni mwalimu wa msingi au sekondari unataka kwenda Musoma Mjini, Ukererewe, Kigoma au Kilimanjaro tuwasiliane kwa 0655 707 527.
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Back
Top Bottom