Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
58 Reactions
336 Replies
18K Views
Utachati naye kila muda. Utampigia kila siku na kumwambia nakupenda kila wakati lakini kuonana naye atakuzungusha sana tu. Ila kuna mwenzako huko anauliza unakuja au hauji. Soma Tena Kwa Mara ya...
5 Reactions
10 Replies
700 Views
Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti. Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina...
18 Reactions
85 Replies
6K Views
Tangu ninakua nimekuwa nikisikia kauli za wanawake hawapendani, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, je, ni kweli wanawake hawapendani au ni nadharia tu ilitengenezwa kuwagawa wanawake...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
17 Reactions
115 Replies
4K Views
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndoa ni moja wapo ya shabaha zinazotamaniwa na adui kushambulia kwa mishale ya moto. kwa sababu akifanikiwa kuharibu ndoa, itasababisha uharibifu mkubwa kwa familia na jamii kwa sababu hii ni...
1 Reactions
1 Replies
627 Views
Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo. Yaani Ile mke akiamka tu full kuongea tu mtu...
18 Reactions
75 Replies
10K Views
HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI -Mimi ni mwanaume Umri wangu ( 30.... ) -Kazi, Nimejuajili -Makazi : Dar es salaaam SIFA ZA MWANAMKE -Awe anajitambua -Awe Msafi -Awe na upendo wa dhati -Asiwe na...
2 Reactions
0 Replies
464 Views
Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa. Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ila tatizo wife sasa huwa...
11 Reactions
77 Replies
4K Views
Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na...
5 Reactions
8 Replies
821 Views
Haloo jukwaa la MMU.... Ngoja leo nitetee hawa malaika a.k.a maua a.k.a wanawake kuna swala fulani kwenye gender sijui niseme sisi wanaume hatufanyi sawa kwao. Hivi inawezekana vipi mwanamke...
8 Reactions
78 Replies
4K Views
Ukimfanya mwanaume kitega uchumi lazima utaona anakuboa, lakin ukimfanya ni mpenzi anaetafuta kwa shida ambae anahitaji Pole na kuhurumiwa katika kazi zake kamwe hutoona kama anakukera.
3 Reactions
12 Replies
881 Views
Nasubiri majibu yenu ili nijue najilipua rasmi Kurudiana nae au nisirudiane nae (tusifanye Mapenzi) ila tuwe tu Marafiki. Katika huu Uzi nitakuwa ni Msomaji zaidi wa Comments zenu na kupitia...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Sio mzuri kwenye kuandika, ila kwa kifupi hawa wahudumu wa guest/lodge. Wamekuwa msaada mkubwa sana mbali na huduma ya usafi na pia wamekuwa na huruma pale demu anapokula nauli na hafiki lodge...
41 Reactions
171 Replies
32K Views
Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable. Imagine mke...
35 Reactions
470 Replies
37K Views
Wasalaam keyboard warriors.. Kuna ile hali unajikuta unampenda sana mtu pasipo yeye kujua au pengine anajua ila unajizuia kumwambia ili muingie kwenye mahusiano au kufanya nae mapenzi kutokana...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Hivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu habarini za wakati huu, Moja kwa moja kwenye mada. Nimegundua kwamba moja ya sababu kubwa inayotufanya tupoteze marafiki zetu ni hii tabia ya kukopeshana. Sasa hivi nimejiwekea msimamo...
66 Reactions
446 Replies
16K Views
Shalom Sina mengi sana hio elimu au utundu nimeikuta mbinga na kwa waluguru, inakuwa kama katerero ila yenyewe mwanamke anashika dudu na kujifanyisha kazi yeye kwa mkono wake ndani ya chungu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…