Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka...
10 Reactions
117 Replies
9K Views
Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lakini unavyoona wewe...
2 Reactions
51 Replies
11K Views
Kila dini ina maelekezo yake juu ya tendo la ndoa,miongoni mwa wanandoa, kila kabila lina utamaduni wake kuhusu tendo la ndoa. Jambo la muhimu sana kwa wanandoa, ni kwamba wanafunga ndoa ili...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi. Ngozi yangu haitakuwa kama leo, ntakuwa na miaka 35. Miaka 35 inabakiza miaka 15 tu niwe na miaka 50...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari za muda huu wapendwa? Jamani niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna binti mmoja wife alimleta hapa home kwa madhumuni ya kufanya kazi yaani house girl. Basi siku ya kwanza alipofika...
11 Reactions
105 Replies
14K Views
Story inaanza ilikua jana jmos, nilipanga kutoka na mpenzi wangu ambae toka tujuane ni wiki sasa. Alinambia ana mpenzi ila ana kama miezi kadhaa hawajaonana na akanihakikishia ataachana nae ndan...
22 Reactions
36 Replies
4K Views
Mnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea. Kila wakati mitandaoni tunaona wanaoliwa mitungo, wanaopakuliwa mambo haramu ni wasomi. Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwanaume anadai natafuta mwanamke , mchakarikaji. Na mwanamke anatafuta mwanaume mtafutaji Kwa ushauri tu je usipo mpata mke mchakarikaji,au mwanaume mtafutaji? Wewe mtafute mtu tu unayempenda...
6 Reactions
13 Replies
363 Views
Niliishauri timu nzima ya Cheka Plus dhidi ya maboresho yenye tija ambayo yalikuwa muhimu kuyatia maanani. Nimefurahi kwa kuwa 70% ya mawazo yangu kuhusu kituo hicho yameanza kufanyiwa kazi...
1 Reactions
2 Replies
676 Views
Jana nimeduwazwa sana baada ya mke wa rafiki yangu kunitamkia wazi kuwa ananipenda na anataka kutoka na mimi. Tangu nifahamiane naye miaka takribani mitano sasa tumekuwa tukiheshimiana naye sana...
6 Reactions
105 Replies
11K Views
Aisee, kama ndoa ndo ngumu kiasi hiki, hiki kikombe kiniepuke kwa kweli. Ni mara mia nitafute mdada, nimpachike mimba kwa makubariano. Siwezi, nasema tena Siwezi, Mola anisaidie. Ni kugumu japo...
2 Reactions
15 Replies
944 Views
Natoka kwa hasira baada ya kunikwaza na kwenda zangu nje au mtaani kidogo kutuliza munkari. Ile narudi tu nakutana na tego la haja la msambwanda basi makosa yanasahaulika au kusamehewa hapo hapo...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Kila mtu ana matamanio yake juu ya mtu au katika maisha, je! Ni aina gani ya mwanamke ambae unatamani kuwa nae lakini hujampata?
6 Reactions
235 Replies
15K Views
Habari mwanaJF, Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano. Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Shalom wana jf Iko hivi, kuna huyu dada ni mzuri sana, nko naye kwenye mahusiano Kwa muda sasa!!! Ni boss flani hivi ana kampuni zake kama mbili kubwa In short ana mawe!!! Tatizo n...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Anamaanisha " wee umeisha..hapa umeisha😂😂😂"
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
8 Reactions
237 Replies
5K Views
Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Mambo vipi apo nyuma ya keyboard, ugonile.!! Kiukweli zama zimebadilika sana ni ajabu sana wanawake sikuiz ndo wanaitisha mechi kwa kisingizio kuwa mnatest kama yaliyomo yamo kwa wachumba zenu...
20 Reactions
103 Replies
4K Views
Swali: Kwanini Sikuizi Vijana wengi. Tunashindwa Kufikia Malengo ya Msingi juu Yetu..!!? Je.? Tatizo ni Nini …!!??🤔
2 Reactions
4 Replies
392 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…