Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamvi salaam, Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine...
72 Reactions
336 Replies
37K Views
Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizoonesha dhahiri shahiri ametoka kuliwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
22 Reactions
36 Replies
2K Views
Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu. Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma...
17 Reactions
99 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemulwa amewashangaza wengi baada ya kufanya sherehe ya harusi licha ya Bibi harusi kugoma...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari ya uzima wenu wana JF? Natumaini mu wazima. Mimi ni mkazi wa Dar, ni muajiriwa na pia nina biashara zangu za kunipa senti mbili tatu. Umri wangu ni miaka 29 na ni mzaliwa wa mkoani...
1 Reactions
4 Replies
918 Views
Huyu jirani yangu ni playboy, kila baada ya miezi mitatu alikuwa ana-renew wanawake, lakini kwa huyu aliyenaye kwa sasa, anavutia sana. Siku zote nimekuwa nikingoja kifurushi kiishe, ni mwezi wa...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi ni kijana wa makamo, on my early 30s, sina familia (mke & mtoto), vipaumbele vyangu kwenye maisha ni kujitoa kwenye dimbwi la umasikini uliokithiri kwenye familia zetu hizi za...
7 Reactions
75 Replies
3K Views
Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia...
31 Reactions
149 Replies
13K Views
Dah! Zee zima linajisifia ujinga! NB: Kuwa na mahusiano mengi sio sifa bali ni UJINGA
4 Reactions
25 Replies
686 Views
Habarini wakubwa natumai mu wazima. Kwenye maisha yangu huwa najitahidi sana nisionekane muongo ila hapa ilinibidi nidanganye ili nipate ninachokihitaji. Nikiwa na miaka 18 nilimpenda...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Kukichwa kutapambazuka..lakini kabla jua halijachomoza kiza huwa totoro... Fear of the unknown...hofu bila sababu... Fear the most of last kicks of a dying bull after butcher's sword has passed...
3 Reactions
3 Replies
301 Views
Aisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa chumba dada wa kazi nikijipumzisha tu na dada wa...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Hello! Kama kawaida siachi kuwasanua wanaume wenzangu. Inaumiza sana kuoa malaya. Usithubutu kuoa malaya. Jana nilileta Uzi uutafute upate kumjua mwanamke malaya na ujinasue usije kuingia kwenye...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Kila binadamu ni mbegu, ukizaa na mtu tegemea hao watoto wako watafanana tabia na muonekano sawa na uliyezaa naye hadi uwezo wa kiakili.. kabla haujafikiria kuchanganya damu na mtu hakikisha...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Leo nimekutana na hii makala mtandaoni, imenishtua na kunishangaza sana. Mwanaume mmoja huko india ameamua kuacha kazi yake katika taasisi kubwa sana ya goldman sachs yenye mshahara mzuri, na...
3 Reactions
11 Replies
527 Views
Shalom, Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo. Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndoa ni jambo jema hakua jambo zuri ambalo halihitaji akili sio kila mmoja anaweza ndoa ,kuna mataifa viongozi hupimwa kwa ndoa kama huwezi kuhadle ndoa utaweza kumuongoza nani ?. Ndoa ni sanaa...
1 Reactions
11 Replies
520 Views
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kuna mpango tumepanga kila siku nikiongea nae namkumbusha. Sasa jana nime mkumbusha , akanikasirikia kabisa anasema ",nimeshaona kuwa siaminiki wewe mtu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanaume kuoa mwanamke asiyempeda. (Na kwa taarifa yako zipo ndoa nyingi za namna hiyo). Sababu hizo ni mwanaume:- 1. Kumkosa mke wa ndoto yake. 2. Kuachwa...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
NJIAPANDA: Mke wangu alileta mchepuko wake kwangu wiki mbili wakitafuta mtoto, sasa anakaribia kujifungua! Sina kawaida ya kushika simu ya mke wangu kwani nilikuwa namuamini kiasi kwamba sijawahi...
22 Reactions
117 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…