Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana JamiiForums hope mko poa kabisa Naomba kuuliza hili maana linanitesa sana. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nimemlipia mahari na nikamvalisha pete. Ila mimi baada ya kuona haeleweki...
3 Reactions
66 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka mingi kujua kwamba wanaume wanalia pia. Nilimchukulia mume wangu kama mtu wa ajabu. Namwona akiondoka nyumbani kila siku na kurudi akituletea riziki...
5 Reactions
12 Replies
987 Views
Habari ndugu zangu, Waswahili wanasema katika maisha ni muhimu kuwatafutia wanao mama aliye bora. Na hivyo bila hiana nimeona humu JF naweza pata mke bora maana naamini humu watu wenye sifa ya...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe...
2 Reactions
11 Replies
791 Views
Mwanamke ni kiumbe chenye kuvutia sana kwa asili ya uumbaji lakini ni kiumbe hatari kwa namna isiyoelezeka kwa urahisi, nachotaka kusema hapa ni kwamba mwanaume yeyote lazima uzingatie namna ya...
1 Reactions
4 Replies
737 Views
TALAKA AU KUACHANA KUNAWAATHIRI ZAIDI WATOTO. Sehemu Ya 1 Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto nyingi sana katika ndoa na mahusiano hali inayopelekea ndoa nyingi na mahusiano mengi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni rafiki yangu anafanya biashara zake mikoa fulani alikuwa na mpenzi wake wakaachana mazoea yalipoanza na mdogo wa ex- wake alikua ananiomba ushauri sana anamkataeje dogo maana dogo alikua...
1 Reactions
14 Replies
914 Views
Hello JF, Wanaume kwanini mnakuwa hamjiamini ukiwa kwenye mahusiano Na mwanamke au ukioa mke aliyekuzidi kipato ingawa unakuta anakuheshim vizurii. inferiority inampelekea mpaka mwanaume kuanza...
1 Reactions
9 Replies
758 Views
Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Nilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie. Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi...
19 Reactions
187 Replies
5K Views
Nmekuwa nikishuhudia baadhi ya watu wenye visa kama hivi: Unakuta mtu ana maindisha misosi, anafunga friji na funguo ili tu watu wasile matunda au maziwa ambayo ni ya familia ambayo hata hajui bei...
7 Reactions
119 Replies
11K Views
Habari JF hii ndio Inaitwa VITA Ya Kiroho katika Ulimwengu Wa Mapenzi Twende moja Kwa moja Kwenye mada IJUE VITA YA KIROHO YA MAPENZI. UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe. Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
18 Reactions
111 Replies
8K Views
Habari ndugu zangu. Miaka miwili iliyo pita nilitongoza Binti mmoja mitaa ya home akanichomolea nje.sikukata tamaa mapema nikamrudia kipindi Cha pili majibu alio nipa ni kama hapo juu kichwa...
15 Reactions
55 Replies
3K Views
Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja...
3 Reactions
5 Replies
536 Views
Salaam kwenu nyote. Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti. Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki. Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja...
18 Reactions
149 Replies
10K Views
Miaka mitatu iliyopita nilioa mwanamke kutoka familia ambayo alikuwa na wazazi wote, kwa kweli ndoa ilikuwa pasua kichwa, mwanamke akajaza vitimbi Siku moja nikamwambia mjomba wangu kuhusu hali...
76 Reactions
188 Replies
13K Views
Niliamini huyu ndio wife material wangu bana Basi yule mtoto akanionesha ishara zote za kunihitaji si nikajifanya nice guy eti sitaki nimuumize mtoto wa watu nimuache tu aende...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Unakua mchoyo wa penzi, halafu matokeo yake ukifika nyumbani unaishia kupiga punyeto,huku ukijutia kupoteza fursa uloikataa bila sababu ya msingi, baada ya kuombwa penzi na mtu wa maana sana. Na...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za kazi wanajamvi! Ninawasalimu kwa jina la JF....! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, namshukuru Mola nimejaliwa mke mzuri na mtoto mmoja. Pia Mola amenijalia kazi nzuri ambayo...
15 Reactions
168 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…