Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari za jioni wakuu, poleni na majukumu wale mnaosubiria mshahara hali ikoje? Ni weekend ingine tena hakikisha unampa mwanamke umpendae hela๐Ÿ˜‚ hata kama hajakuomba we mpe tu.. Mtaanza ooh...
6 Reactions
35 Replies
827 Views
1.hakikisha una mmudu hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari...
22 Reactions
87 Replies
4K Views
Poleni na majumukumu. Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano. Binti huyu ni yeye ndiye...
30 Reactions
132 Replies
15K Views
๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno. Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini. Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi Naumia mno, naona sitendewi...
25 Reactions
63 Replies
3K Views
Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
16 Reactions
134 Replies
3K Views
Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao. Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu...
16 Reactions
63 Replies
3K Views
Na Chibueka: Mwanamke anajua aliolewa na mwanaume mwema kutoka wiki ya kwanza ya ndoa yao. Mwanamume anaweza tu kuthibitisha alioa mke mwema siku za mwisho za maisha yake. Hii ni kwa sababu...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time. Don't marry for love but marry for...
34 Reactions
158 Replies
13K Views
Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe ni muelewa tu sio mjuaji. Najibu PM zote kuanzia sasa kwa mengi zaidi.
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Naam, Kijana zingatia sana unapohitaji kuoa basi usioe mwanamke aliyewahi kuachika, yaani aliyewahi kuolewa na mwanamume kisha akaachika. Usioe,. Pia kama kaachika na mtoto au watoto huyo ndio...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo...
2 Reactions
0 Replies
528 Views
Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume, wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia. Wanawake wengi wanaokula...
18 Reactions
55 Replies
3K Views
Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko). Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:- Mimi: halo...
27 Reactions
115 Replies
4K Views
unajua limezuka Wimbish la vijana kuzaa ovyo kama ufahari sasa wamefika wakati bar kila kijana analalamika aisee m yule mtoto xxx sijui kama sijaibiwa hii n dhambi msiumize kichwa kama mnaona...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Salaam Wanaume Wenzangu mnaosoma huu Uzi. TAFADHALI: Hii ni kwa ajili ya Men, wanawake wa jamii forum msipite hapa tuna kikao. Kile Kikao cha Wanaume leo tena kipo hapa. โš ๏ธโš ๏ธโš ๏ธCAUTION...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
๐‘ต๐’‚. ๐‘ฑ๐’๐’‰๐’-๐‘ฉ๐’‚๐’‘๐’•๐’Š๐’”๐’• ๐‘ด. ๐‘ต๐’ˆ๐’‚๐’•๐’–๐’๐’ˆ๐’‚ ____________________________ Nimekuwa mfuatiliaji sana wa maneno yaliyokuwa yakisemwa na baadhi ya Waimbaji wa Kike wa Nyimbo za Injili hasa baada yaWanawake hao...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na...
26 Reactions
290 Replies
15K Views
Hi, Kwa uzoefu wangu wakati na wajuu, nimeona na kushuhudia papuchi mbovu mbovu, ambazo ni kinyume na muonekano wa nje wa mwanamke kwenye maeneo kama mavazi,, urembo, sura, shepu,, samosa...
13 Reactions
77 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ