Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Don't give her free attention Low-value, insecure men are always trying to buy a woman's attention and validation by showering her with free attention, compliments, favors and constant...
3 Reactions
11 Replies
975 Views
Morning, Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga...
18 Reactions
99 Replies
5K Views
Kama title ilivyo Sifa binafsi (mimi) Umri-31 Dini-mkristo (Anglican) Elimu-chuo Taaluma-maabara Kazi-Afya Rangi-mweusi Urefu-wastani Mwanamke awe Umri-kuanzia 20 Dini-yoyote Elimu-kuanzia kidato...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Habari wana JF? Leo nazungumza na wadada wanaotamani kuolewa. Kumiliki mwanaume. Kama hauna mpango huo, basi endelea na threads nyingine. Haijalishi mdada ni mrembo kiasi gani, una tabia...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Basi bwana by the time nipo form three nilikuwa napenda sana mademu si unajua kubaleh. Lakini kwa upande flani walikuwa kama hawaniewi flan hivi basi bhana nikawaga na force hivyo hivyo mpaka...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chahusika. Ni msichana niliyekua namzimia sana sana tangu tupo chuo nampiga verse anakataa katu katu ila kidume sikukata tamaa. Msichana huyu alikua mkali sana yani hadi...
59 Reactions
302 Replies
139K Views
Mapenzi bwana yanamambo ya ajabu sana. Ndani ya Mangesani, Bagamoyo kumetokea tukio la kimapenzi la ajabu sana na la kuhuzunisha sana na limewafanya watu wengi washikwe na duwaa. Tukio lenyewe...
17 Reactions
32 Replies
7K Views
Lengo la ushauri huu ni kuvuka mwaka bila kua na UTI sugu, gono, kaswende au UKIMWI ambao umenusurika nao kwa sehemu kubwa sana ya mwaka huu2024, na mwaka wenyewe unaelekea kuisha hivi karibuni...
3 Reactions
3 Replies
566 Views
Ndugu zangu salaam Tulisha ongea na kuandika sana kuhusu single maza na maoni yalitolewa mengi sana ,ila kuna watu hawataki kusikia kabisa sasa jibu rahisi kama unataka kuoa single maza (...
22 Reactions
70 Replies
4K Views
Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Kaka Magical power, nina mwanaume ambaye hata kale kamoja tu huwa ni shida inasimama vizuri tu ile tu unaishikashika sababu nimefundwa lazima niishe kwa mkono wangu ndipo niiweke ukiichezea tu...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari za weekend wakuu? Napenda kujua,je umeshawahi kufumaniwa?Ilikuchukua muda gani kwa tukio lile kufitika kichwani mwako? Binafsi ilinitokea siku za karibuni,sielewi ni nani alimtonya...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
12 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakuu Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
Habariii wana jukwaa Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu mnamo mwaka huu mwezi wa 9 nilifanikiwa kumuoa mwanamke ambaye nilikua nae kwenye kipindi cha uchumba kwa miaka zaidi ya mitatu. Na ni...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
327 Views
Kusema ukweli ni viumbe tu wa kawaida kabisa, yaani in soul anaongea na wewe na mtakaa vizuri tu. Ukichepuka analia kule. Then ndio unaanza kuona mabalaa. Machozi yake ni Lulu. Siku ukikutana na...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
eti wakuu au tuwaache kwanza tusiwapigie makelele?
4 Reactions
18 Replies
905 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…