Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men. Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi. Watoto wakiume wamekuwa...
22 Reactions
116 Replies
4K Views
Kaka magical power hodi ,Leo nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina...
0 Reactions
8 Replies
835 Views
Wadau, swali la iwapo mapenzi ya kweli bado yapo limekuwa likizungumziwa sana. Ni suala la muda tu kumpata mtu anayekufaa. Kwa mfano, kuna binti mmoja ambaye amenionyesha upendo wa dhati kiasi cha...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona...
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita...
3 Reactions
2 Replies
676 Views
Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne kama masihara anachapa kavu...
39 Reactions
206 Replies
18K Views
Muda mfupi uliopita nimeona status ya mpenzi wangu ikisoma hivyo akili imepagawa kwa sababu mimi na yeye hatuko sawa kiasi cha yeye kwenda kupost hivyo.. hii ni kiashiria kwamba kuna mtu...
2 Reactions
14 Replies
924 Views
Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya...
1 Reactions
15 Replies
862 Views
Eejamaa eh wazima wote, hebu tufahamishane tabia za wanawake wa kinyamwezi ni zipi kwa sisi tusiojua tabia zao ili tusije kuingia mkenge kwa kumuoa mwanamke wa kinyamwezi. β€’ Wavumilivu sana...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Vijana akiingia geto hakikisha harudi salama. Siyo demu anakuaga unaanza kujiuma uma tu... Mwamba kapita mle mle. Hii ni ya mwisho sitawaambia tena πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‹πŸ˜‹
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Tunaanza weekend salama.Poleni kwa mihangaiko wapambanaji wenzangu Ila ni muhimu kuepuka Mimba zisizotarajiwa.πŸ€£πŸ‘‡
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Kuna kipindi Dada angu alijifungua kwa operation kwenye hospital moja kubwa apa mjini nikawa nimeenda asubuhi moja kumuona Wakati natoka wodini napita reception nikakutana na Dada mmoja age kama...
13 Reactions
41 Replies
7K Views
Sijui kwa wengine ila kwa kweli mwanaume yoyote awe ndugu yangu au rafiki WA kiume ambae Hana maamuzi yoyote Hadi kitu kifike kwa mkewe ndo akaamue yaani huwa wananikera.sisemi ni vibaya...
13 Reactions
51 Replies
2K Views
USILAZIMISHE AWE NDIO YULE UNAYEMTAFUTA, UTATESEKA SANA Mambo ya kulazimishana kwenye mahusiano/urafiki limekuwa janga kubwa la Dunia na wengi wanaoingia kwenye huu mtego hujikuta matesoni...
3 Reactions
3 Replies
536 Views
Umekua kama tui la nazi kwenye penzi hili!, utamu wako ni kama hewa laini inayopuliza wakati wajoto. Nikianza na ngozi yako nitamaliza na umaridadi wako!, unaponivutia zaidi ni pale unaposema...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Siwasemi vibaya dada zangu wa kichaga, mnasifika kote kwa uwezo wenu wa kusaka mahela. changamoto ninayoiona kwa manka walio wengi, uchumi ukichangamka mnakuwa jeuri na kiburi sana. Haijalishi...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika zama hizi ukiwa na kipato cha kukuwezesha kulala pazuri, kuvaa vizuri, kula vizuri na kunywa kwa mwezi, halafu upo singo ni vema uishi peke yako tu. Utapata kila wanachokipata watu walioko...
4 Reactions
17 Replies
663 Views
Habari wakuu. Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe. Vigezo ni awe...
18 Reactions
71 Replies
3K Views
Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo. Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…